Mbona chuki zinazidi ?

mtuwawatu

mtuwawatu

Senior Member
Joined
Oct 30, 2007
Messages
106
Likes
1
Points
35
mtuwawatu

mtuwawatu

Senior Member
Joined Oct 30, 2007
106 1 35
Wana JF, nimekuta hii habari kwenye hii site si vibaya kujadili
Zanzibar, wahamiaji na makanisa

Zanzibar, wahamiaji na makanisa
Assalamu alykum.

Nduguzanguni hebu tutafakarini masuala haya kwa makini.

Vipi watu hawa wanapata ardhi wakati ardhi yote ni ya waislamu?
Makanisa yanatumika kuweka watu kutoka nje ya Zanzibar kwa lengo gani?
Kwanini Pasta wa kanisa la Mwera ndie Sheha wa Shehia hiyo? Nani alompa usheha huo? Kwanini waislamu wa hapo wakakubali kuongozwa na Pasta wakati yeye shughuli zake ni za kanisa?
Wimbi la wahamizi kutoka nje ya Zanzibar lina lengo la kisiasa, kidini au yote?
Jee serikali inawapa support wahamizi hawa kupitia vitambulisho vya ukaazi kwa vile wengi wao wanavyo na waliostahili hawakupewa? Nini lengo la serikali hapa, kuwaondoa wazanzibari halisi na kusimika wageni watawale nchi hii?
Jee hatuoni athari za kuvamiwa na wageni huku wakinunua ardhi na kujenga makanisa kuwa zitawarithisha vizazi vijavyo kadhia kama ya Palenstina na Israeli?
Nini hatma ya Zanzibar chini ya mpango huu wa wahamiaji na makanisa?
Kwanini wazanzibari wako kimya hawachukui hatua yoyote, au wanasubiri ushahidi kamili?

Source
Zanzibar, wahamiaji na makanisa
 
TUKUTUKU

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2010
Messages
11,841
Likes
49
Points
145
TUKUTUKU

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2010
11,841 49 145
Duh!jamaa wanachuki balaa!wenyewe kakija bara wanajitanua balaa,wapemba wametumia fursa mbalimbali zilizopo huku Tanganyika bila kubaguliwa na yeyote!juzi nilimsikia Hamad Rashid akisema kuwa yeye ana nyumba mikocheni!chetu(Watanganyika) cha wote,chao ni chao!hawa jamaa washukuru hiyo serikali yao ya CCM inayowadekeza kama watoto!lakini kila lenye mwanzo lina mwisho!ipo siku watapaswa kuturudishia ardhi yetu wanayoimiliki!hili siyo shamba la bibi yao!!!
 
Jile79

Jile79

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Messages
12,116
Likes
3,961
Points
280
Jile79

Jile79

JF-Expert Member
Joined May 28, 2009
12,116 3,961 280
Nyambafu................sijui umeandika ukiwa wapi vile yakhe? ..........usilolijua litakusumbua......muulize mkwere inawezekana kawaleta kwa jili ya mahakama ya kadh ya oic yakheeeeeeeeeeeee!
 
Mallaba

Mallaba

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Messages
2,560
Likes
4
Points
133
Mallaba

Mallaba

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2008
2,560 4 133
Assalamu alykum.
Nduguzanguni hebu tutafakarini masuala haya kwa makini.
 • Vipi watu hawa wanapata ardhi wakati ardhi yote ni ya waislamu?
 • Makanisa yanatumika kuweka watu kutoka nje ya Zanzibar kwa lengo gani?
 • Kwanini Pasta wa kanisa la Mwera ndie Sheha wa Shehia hiyo? Nani alompa usheha huo? Kwanini waislamu wa hapo wakakubali kuongozwa na Pasta wakati yeye shughuli zake ni za kanisa?
 • Wimbi la wahamizi kutoka nje ya Zanzibar lina lengo la kisiasa, kidini au yote?
 • Jee serikali inawapa support wahamizi hawa kupitia vitambulisho vya ukaazi kwa vile wengi wao wanavyo na waliostahili hawakupewa? Nini lengo la serikali hapa, kuwaondoa wazanzibari halisi na kusimika wageni watawale nchi hii?
 • Jee hatuoni athari za kuvamiwa na wageni huku wakinunua ardhi na kujenga makanisa kuwa zitawarithisha vizazi vijavyo kadhia kama ya Palenstina na Israeli?
 • Nini hatma ya Zanzibar chini ya mpango huu wa wahamiaji na makanisa?
 • Kwanini wazanzibari wako kimya hawachukui hatua yoyote, au wanasubiri ushahidi kamili?
source:Zanzibar, wahamiaji na makanisa
 
minda

minda

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2009
Messages
1,069
Likes
16
Points
135
minda

minda

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2009
1,069 16 135
mkuu nimekupata unajaribu kuwakilisha kundi la watu fulani.
je, maeneo mengi hapa tanzania na duniani kote hakuna wazanzibari?
wapemba mko wengi tena mnafanya vema kwenye biashara zenu sasa je wenyeji waanze kuwalalamikia uwepo wenu?
nadhani mtu yeyote ana haki ya kuishi kokote mradi havunji sheria.
 
Mallaba

Mallaba

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Messages
2,560
Likes
4
Points
133
Mallaba

Mallaba

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2008
2,560 4 133
mimi siwakilishi huo ujumbe hata kidogo kwani mi sio mzanzibara yahe..
Ila kuna tatizo la hawa jamaa kulingana na nilivyofatilia hiyo makala yao, kwa nii wanakuwa na ubaguzi hivyo? hivi huwa wanabaguliwa na wenyewe huko bara? mbona tunaona misikiti karibu kila mtaa dar /bara lakini sijawahi kuona watu wakilaumu?..kwa hali hii sijui kama tutafika tunakoelekea..
mkuu nimekupata unajaribu kuwakilisha kundi la watu fulani.
je, maeneo mengi hapa tanzania na duniani kote hakuna wazanzibari?
wapemba mko wengi tena mnafanya vema kwenye biashara zenu sasa je wenyeji waanze kuwalalamikia uwepo wenu?
nadhani mtu yeyote ana haki ya kuishi kokote mradi havunji sheria.
 
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Messages
17,822
Likes
5,417
Points
280
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2009
17,822 5,417 280
Assalamu alykum.
Nduguzanguni hebu tutafakarini masuala haya kwa makini.

 • Vipi watu hawa wanapata ardhi wakati ardhi yote ni ya waislamu?
 • Makanisa yanatumika kuweka watu kutoka nje ya Zanzibar kwa lengo gani?

 • Kwanini Pasta wa kanisa la Mwera ndie Sheha wa Shehia hiyo? Nani alompa usheha huo? Kwanini waislamu wa hapo wakakubali kuongozwa na Pasta wakati yeye shughuli zake ni za kanisa?

 • Wimbi la wahamizi kutoka nje ya Zanzibar lina lengo la kisiasa, kidini au yote?
 • Jee serikali inawapa support wahamizi hawa kupitia vitambulisho vya ukaazi kwa vile wengi wao wanavyo na waliostahili hawakupewa? Nini lengo la serikali hapa, kuwaondoa wazanzibari halisi na kusimika wageni watawale nchi hii?
 • Jee hatuoni athari za kuvamiwa na wageni huku wakinunua ardhi na kujenga makanisa kuwa zitawarithisha vizazi vijavyo kadhia kama ya Palenstina na Israeli?
 • Nini hatma ya Zanzibar chini ya mpango huu wa wahamiaji na makanisa?
 • Kwanini wazanzibari wako kimya hawachukui hatua yoyote, au wanasubiri ushahidi kamili?
source:Zanzibar, wahamiaji na makanisa
Vigezo vya kuwa sheha ni vipi.......??? Uislamu.......??? ....Umsikiti........??? Ukristo......??? ........Ukanisa........???
 
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Messages
17,822
Likes
5,417
Points
280
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2009
17,822 5,417 280
mimi nilichokifanya ni ku-copy and paste, siwakilishi huo ujumbe hata kidogo kwani mi sio mzanzibara yahe..
Ila kuna tatizo la hawa jamaa kulingana na nilivyofatilia hiyo makala yao, kwa nii wanakuwa na ubaguzi hivyo? hivi huwa wanabaguliwa na wenyewe huko bara? mbona tunaona misikiti karibu kila mtaa dar /bara lakini sijawahi kuona watu wakilaumu?..kwa hali hii sijui kama tutafika tunakoelekea..
Usiwe na tabia ya ku-copy na ku-paste vitu usivyoweza kuvitetea kwa hoja........Ulivyoiweka ni kama mtazamo wako ndiyo upo hivyo......... unaulizwa unajitoa............
 
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
23,230
Likes
7,043
Points
280
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
23,230 7,043 280
Ingizo hili limetumwa na popobawa tarehe 11/29/2010 nyakati za 12:30 mu, na limehifadhiwa katika Makala/Tahariri. Fuatilia majibu yoyote katika chapisho hili kwa RSS 2.0. Unaweza kutoa majibu au trakibeki kutoka websaiti yako mwenyewe.
 
Buchanan

Buchanan

JF Diamond Member
Joined
May 19, 2009
Messages
13,211
Likes
385
Points
180
Buchanan

Buchanan

JF Diamond Member
Joined May 19, 2009
13,211 385 180
Vigezo vya kuwa sheha ni vipi.......??? Uislamu.......??? ....Umsikiti........??? Ukristo......??? ........Ukanisa........???
Waislamu huwa siwaelewi hata kidogo! Wakiwa wachache huwa ni watu wema sana, hawana fujo hata kidogo, wakiongezeka kidogo huwa wanaanza madai ya "kuonewa," wakiwa wengi ndio inakuwa balaa, wanakuwa wababe kupindukia! Hii mahakama ya kadhi na mambo ya oic ni mlango tu wa kuingilia, kimbembe kiko mbele ya safari, huyu Membe ndio atakuwa wa kwanza kulipuliwa mabomu!
 
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Messages
17,822
Likes
5,417
Points
280
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2009
17,822 5,417 280
Waislamu huwa siwaelewi hata kidogo! Wakiwa wachache huwa ni watu wema sana, hawana fujo hata kidogo, wakiongezeka kidogo huwa wanaanza madai ya "kuonewa," wakiwa wengi ndio inakuwa balaa, wanakuwa wababe kupindukia! Hii mahakama ya kadhi na mambo ya oic ni mlango tu wa kuingilia, kimbembe kiko mbele ya safari, huyu Membe ndio atakuwa wa kwanza kulipuliwa mabomu!
"MOB PSYCHOLOGY" ...................huwa inawasumbua sana hawa bandugu...........
 
Joseph

Joseph

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2007
Messages
3,525
Likes
92
Points
145
Joseph

Joseph

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2007
3,525 92 145
Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mtu yeyote anaruhusiwa kuishi popote na kuabudu dini yoyote aitakayo ili mradi asivunje sheria za nchi.
Sioni tatizo hapo.
 
Eric Cartman

Eric Cartman

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Messages
6,818
Likes
1,673
Points
280
Eric Cartman

Eric Cartman

JF-Expert Member
Joined May 21, 2009
6,818 1,673 280
Aliewaambia kutukanana udini ni part of entertainment ni nani?

Subirini tuu huu ndio mwanzo wenyewe mmeanza kuweza haya mawazo kwenye conscious za watanzania sasa mnataka kulalama na nani? na yes JF is partly to blame.
 
K

Kagalala

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
2,373
Likes
93
Points
145
K

Kagalala

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2010
2,373 93 145
Wapemba wamejaa uk utafikiri ni Mji Mkongwe tena wanakula pesa za walipa kodi wakidai ni wakimbizi. Inakuwaje wao wanalalamika kama watanzania wenzao wanaenda kuishi visiwani?
 
shanature

shanature

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Messages
738
Likes
38
Points
45
shanature

shanature

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2010
738 38 45
Wabaguzi tu hawana chochote/mi naona mfumo ungerudi enzi za mwinyi passport kwenda huko,ili wanaoenda wajue wawe makini na kusoma alama za nyakati wasije kujuta wakibadilika wazawa
 
Gama

Gama

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Messages
9,875
Likes
1,712
Points
280
Gama

Gama

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2010
9,875 1,712 280
mimi nilichokifanya ni ku-copy and paste, siwakilishi huo ujumbe hata kidogo kwani mi sio mzanzibara yahe..
Ila kuna tatizo la hawa jamaa kulingana na nilivyofatilia hiyo makala yao, kwa nii wanakuwa na ubaguzi hivyo? hivi huwa wanabaguliwa na wenyewe huko bara? mbona tunaona misikiti karibu kila mtaa dar /bara lakini sijawahi kuona watu wakilaumu?..kwa hali hii sijui kama tutafika tunakoelekea..
hii habari iko kwenye media gani?
 
minda

minda

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2009
Messages
1,069
Likes
16
Points
135
minda

minda

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2009
1,069 16 135
mchangiaji mmoja akachangia hivi:

kwa hakika hayo maswali uliyoyatoa yote ni ya msingi na yanatakiwa kufanyiwa kazi. uvamizi wa wageni kutoka tanganyika umepindukia toka zamani watu kutoka tanganyika walikuwa wanakuja lakini kwa shughuli maalum ikiwa kikazi zinazofahamika au kimichezo, lakini ujaji huu wa hivi sasa kwa mtizamo wangu wa haraka haraka ni wa mpango maalum ni upi huo? kisiasa na kidini nitafafanua kidogo tu.
kisiasa hii nchi kwa miaka sasa imetafutiwa kila njia ya kuitia mkononi mwa tanganyika toka hata kabla ya mapinduzi na baada ya mapinduzi na zishafanyika kila mbinu ambazo athar zake mpaka leo hii hapa tulipo tunaiona zanzibar imekuwa katika pingu za kitanganyika na kwa sababu ya kukosa umoja baina ya wazanzibari wenyewe pingu hizo zimekuwa ni vigumu kufungulika.
Kidini zanzibar ina historia kubwa katika maswala ya dini(uislam) toka enzi na dahar ambayo yalipelekea zanzibar kujulikana sana na watu wake na population yake ambayo 99% waislam hali hii haijawa ya kuwafurahisha maadui wa uislam haya tunayoyaona sasa ya kuota makanisa kama uyoga na pub ni mitayarisho ya miaka mingi ya kutaka kuvuruga uislam na kuwavuruga waislam katika imani yao maadili yao na utamaduni wao wa asili.
nawasilisha
 
M

MUSINGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
462
Likes
175
Points
60
M

MUSINGA

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
462 175 60
Waislamu huwa siwaelewi hata kidogo! Wakiwa wachache huwa ni watu wema sana, hawana fujo hata kidogo, wakiongezeka kidogo huwa wanaanza madai ya "kuonewa," wakiwa wengi ndio inakuwa balaa, wanakuwa wababe kupindukia! Hii mahakama ya kadhi na mambo ya oic ni mlango tu wa kuingilia, kimbembe kiko mbele ya safari, huyu Membe ndio atakuwa wa kwanza kulipuliwa mabomu!
ningekuwa na uwezo wewe sijui ningekufanya nini
 
Forum statistics

Threads 1,236,300
Members 475,050
Posts 29,253,371