Mbunge CCM akataliwa...

aaaaaah hakuna kuchakachuliwa alikofanyiwa hapo huyo jamaa yako wa chadema,tatizo ninyi na hasa wewe ni watu wa kulalama,blandes yuko fiti.Na hakuna haki iliyochakachuliwa na ccm na amani itaendelea kuwepo kwa sababu ccm itaendelea kutawala na ndiyo msingi wake.Fanya kazi massawe(DC) BIG UP FOR WEWE KWA KUDHIBITI VIZABINAZABINA vya CHADEMA,chama mfilisi kisicho na dira ambacho viongozi wake wanarumbana kwa kutoweza kusimamia maamuzi yao,tungewapa nchi ndio wangeweza?kama mgomo tu wanatofautiana!big zito fanyakazi tulikutuma ccm wakologe zaidi na zaidi 2015 NCCR wewe rais wa nchi hii.

Nimeshindwa kusoma hii, haina vituo, space wala mtiririko wenye logic. Shule za kata zitatumaliza!
 
aaaaaah hakuna kuchakachuliwa alikofanyiwa hapo huyo jamaa yako wa chadema,tatizo ninyi na hasa wewe ni watu wa kulalama,blandes yuko fiti.Na hakuna haki iliyochakachuliwa na ccm na amani itaendelea kuwepo kwa sababu ccm itaendelea kutawala na ndiyo msingi wake.Fanya kazi massawe(DC) BIG UP FOR WEWE KWA KUDHIBITI VIZABINAZABINA vya CHADEMA,chama mfilisi kisicho na dira ambacho viongozi wake wanarumbana kwa kutoweza kusimamia maamuzi yao,tungewapa nchi ndio wangeweza?kama mgomo tu wanatofautiana!big zito fanyakazi tulikutuma ccm wakologe zaidi na zaidi 2015 NCCR wewe rais wa nchi hii.
Ni kwamba hujui unachokisema si kosa lako
 
Huyo mbunge anatia huruma kweli. Atawakilisha watu wasiompenda wala kumtaka? Kazi kwelikweli. Ndo matokeo ya kuchakachua.
 
Back
Top Bottom