Ngoma ikilia sana ujue inakaribia kupasuka na lisemwalo lipo kama halipo, basi li njiani laja! Hatimaye Wema Isaac Sepetu na Naseeb Abdul Jumaa Diamond, wamemwagana rasmi
Ilikuwa ni Jumanne, saa mbili usiku, Diamond Platinum aliita vyombo vya habari katika Hoteli ya Lion Sinza...