Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,227
- 1,389
Kuna hali inajitokeza kama walibya wamekosea kumuua gadafi na kuicha maiti yake uchi ukizingatia sio taratibu za kiislam na kwa mtu kama gadafi aliyeupigania uislam hata kukebehi imani zingine kwa yale wanayomfanyia gadafi sasa inaonekana kuna UBAYA anao gadafi!naomba kujuzwa mabaya ya Gadafi ndani na nje ya libya, Mabaya tu!