Recent content by mtumishi wa kweli

  1. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo aisaliti ACT na kujiunga na Team Lowassa, akabidhiwa jukumu la kumshawishi Membe

    Tupe ya kweli ndugu 🙏🙏🙏🙏
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi wa kike

    Huchagui umri wakati umeweka limit 23-45.... Yupo wa 57yrs km huchagui umri....pepo toka 🙏🙏🙏🙏
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini marehemu halazwi kifudifudi?

    Hiyo hoja ya kuagwa sio hoja kabisa... Ishu ni kuzikwa? Kiimani mtu aendapo ndio aangaliapo na damu kutoka kwa wingi.... Hata marehemu anaposafirishwa... Kichwa kinaangalia aendapo.... 🙏🙏🙏🙏
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Hili kwa Mara ya Kwanza nakubaliana na Mzee wa Upako

    Kuwa ukijua kuwa mganga hajigangi... Mungu anakupa uwezo wa kusaidia wengine... 🙏🙏🙏🙏
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanyonge tuunganishe nguvu kumuokoa Diamond

    Kwenye ukweli tusemeee... Diamond ameleta challenge sana bongo fleva... He deserves to be the best... 🙏🙏🙏🙏
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa Pwani wengi ni masikini?

    Cdhani km ni kweli pwani ni tajiri zaidi ya tabora au singida.... Jaribu kuvisit lindi, mtwara, tanga pangani ndio utajua unachomaanisha kumbe sicho 🙏🙏🙏🙏
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu

    Na hii ndio sababu kubwa inayomsumbua hiyo jamaaa... Lazima atakuwa anaushi kimaskini tu!!!! 🙏🙏🙏🙏
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sitasahau nilioa mwanamke mchawi, tukaachana chini ndani ya miezi sita baada ya harusi

    Assume we ndio unasoma ulichoandika. Then unaambiwa umejifunza nini kwa hizo statement zako? 🙏🙏🙏🙏
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike

    Mmmh......... Kijana si ridhiki nahisi 🙏🙏🙏🙏
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina Diploma ya Sheria

    Nimependa hiyo 🙏🙏🙏🙏
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mvua ya mawe inanyesha kubwa sana mda huu

    Cdhani km kuna mtu hajui mtu akisema kuna mvua ya mawe..... 🙏🙏🙏🙏
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nini Mantiki ya Matangazo ya Vifo Redioni?

    Kuna umuhimu sana... Pindi upatavyo matatizo. Huta weza kuwapa taarifa watu wote.. Wanatafutwa ndg zake ambayo wanafahamika kwenye jamii eg walio ulaya na nk. For sure mtt wa mtani kwenu akienda ulaya lazima mtaa mzima wajue.. Hivyo wakitumia njia hiyo kwa wale watakao sikia tangazo na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya HIV

    Muombe mungu tu ila kama ulikuwa unasimamia show kwa kucha!!!! Jipange 🙏🙏🙏🙏
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni sana msimpe ushirikiano wowote demu huyu kwa sababu anataka kuniingiza mkenge

    Ila ulipiga dry? 🙏🙏🙏🙏
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni sana msimpe ushirikiano wowote demu huyu kwa sababu anataka kuniingiza mkenge

    Kama we si muhusika then wasiwasi wako nini... Ni nahisi umemtelekeza.. Kwanini asinivamie mimi? Kimenuka mkuuu.. Jipange 🙏🙏🙏🙏
Back
Top Bottom