Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 11,035
- 10,470
Itanyesha ya Coins sasa.
Maeneo ya kijichi wanazima kila ikifika saa moja usiku sijui ni mgao.
Jamani mvua inanyesha kubwa sana ikiambatana na mawe ukiwa ndani hata nje huoni hapa Bunda mjini na Tanesco umeme unakatikakatika hovyo. Je, nyie huko mliko vipi hali ya hewa?
Jamani mvua inanyesha kubwa sana ikiambatana na mawe ukiwa ndani hata nje huoni hapa Bunda mjini na Tanesco umeme unakatikakatika hovyo. Je, nyie huko mliko vipi hali ya hewa?
View attachment 181553
Kwa kiingereza inaitwa Hail Storm.
Mvua hii huwa ina frozen droplets za mvua toka anga za juu na ni hatari.
Ikinyesha kwenye shamba ina chana chana mazao yote.
Kwa sisi tuliozaliwa nyanda za juu, hili huwa ni jambo la kawaida.
Nyie watu mliokulia kwenye minazi mna matatizo!Wewe kilaza umekuwa mzungu sasa
Vipande vya barafu kama nipo sawa
Vipande vya barafu kama nipo sawa