Natafuta kazi nina Diploma ya Sheria

Natafuta kazi nina Diploma ya Sheria

elicious

Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
45
Reaction score
6
Jamani wana jamii, naombeni msaada kwa yeyote atakaona nafasi ya kazi. Nimesoma diploma ya sheria na naweza kufanya kazi yoyote sio lazima iwe inahusiana na sheria. Nahitaji msaada wenu wapendwa.
 
Jamani wana jamii, naombeni msaada kwa yeyote atakaona nafasi ya kazi. Nimesoma diploma ya sheria na naweza kufanya kazi yoyote sio lazima iwe inahusiana na sheria. Nahitaji msaada wenu wapendwa.

Nendaa chadema kajitolee then watakuajiri kama john mallya
 
Changamoto tu mkuu ila Kazi ngumu na matapeli humuhumu ila komaa kingine nakushauri hudhulia mahakamani kila siku za Kazi kujipa mazoezi zaidi ameen....
 
Endapo ungekuwa DAR kesho jumatano 10/09/2014 ningekwambia tuonane kwa usaili, then kama ungefaulu ningekupa kazi. Bahati mbaya upo mbali na ninahitaji mtu mwenye Diploma ya sheria urgently! na lazima awe jinsia ya kiume.

Hivyo wenye Diploma ya Sheria na waliopo dar wawasiliane na mimi kabla siku ya kesho haijaisha.

Ninawasilisha!
 
Yaani hili ndio tangazo au ulisha tangaza before? Mkuu mbona kama unampa wakati mgumu mtafuta Kazi? Sogeza mda mbele kidogo mkwamisi ase agese ibahati yakwe! (Via hehe language)
 
Jamani wana jamii, naombeni msaada kwa yeyote atakaona nafasi ya kazi. Nimesoma diploma ya sheria na naweza kufanya kazi yoyote sio lazima iwe inahusiana na sheria. Nahitaji msaada wenu wapendwa.

visit site rita wametangaza kazi mwisho wa kutuma maombi kesho tarehe 10

only brave man will understand my words:flame:
 
mhhh degree ya sheria wenyewe wa sheria wapo mtaani wanaabiwa hadi wamalize law school ndo wapewe ajira......rudi shuleni aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom