Teheeee njoo kwangu la aziz weee mie ndugu zako ntawapenda usihofu
Teheeee njoo kwangu la aziz weee mie ndugu zako ntawapenda usihofu
Hawapendi kivipi...anawatukana, ananuna wakiwatembelea, anatamka kabisa siwapendi, au?
Tafuta kiini...
Je ameanza lini kuwachukia? Umemuuliza sababu?
Ukimuacha una mpango wa kuoa tena? Unamuoa nani? na unajisikiaje kufanya maamuzi makubwa kama hayo - divorce? Bado unampenda au umepata sababu ya ziada (kuchukia wazazi) ya kumuacha?
nilijua tu utasuport sababu ndo tabia yako!!!
mi dadake namba moja mtata utanipenda kweli? cc OLESAIDIMU
Mnhhh ........
Ah nisikupende kwa nini wifi hahahaa hata kama wewe mtata vipi mie utata wako utanigusa vipi nasie kazi zetu tofauti. Wifi wewe pamoja na mapenzi makubwa kwa kaka yako kwani waweza kupita ndani ukamhudumia? Wewe utaishia kibarazani weee wifi yangu na mie ntazidi kukupendea huko huko usiku nakufungia mlango wee gniiiite najivuta ndani na hani.. bibi weee nigombee nini na wifi mie?! Cc OLESAIDIMU
Ni halali kama anasababu ya kufanya hivyo
Ah hani orijino huyooooo (wink)... njoo chemba tusichafue uzi.
Kuishi kimasikini ni kuishi nyumba moja mkeo na dada,zako na mama yako....utampa mkeo lawama za bure...kila mwanamke anataka kuwa na sauti nyumbani kwake...sio kuishi kinyonge...
Umasikini ni tatizo mkuu....
Hata tukipata hela ukubwani bado ni tatizo kwani tulilelewa kwenye umasikini ,muda wote ni mapambano tu ya kujilinganisha.
marriage contract act inasemaje kuhusu ndugu na jamaa?Je, nihalali kuendelea kuishi na mke ambaye hawapendi ndugu wa mumewe hadi wakwe zake?