Recent content by mtukuyu

  1. M

    JamiiForums Tanzania The Other Half (Simulizi)

    Habibu B. Anga Hii story Mwendelezo Lini?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ufisadi mwingine wa Watanganyika dhidi ya Zanzibar huu hapa!!

    Huyu Jamaa inaonyesha baba yake ndiye aliyekuwa mweusi na ndiye aliyewekwa na waingereza baada ya kumuondoa sultan aliyekuwepo lakini mama yake alikuwa ni Mwarabu ambaye alikuwa ni binti wa sultan wa kwanza
  3. M

    JamiiForums Tanzania Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

    Hii story umeiweka kwenye account yako ya Instagram haukuimaliza Ukapotea, Vip Mkuu Hapa hii Story Utaimaliza?@Habibu B. Anga
  4. M

    JamiiForums Tanzania Oil chafu Dudubaya alamba shavu Wasafi festival 2018

    Its time for Konki, Konki, Konki Master
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

    Yaani mtu anacopy maandishi ya wengine na kuyatafsiri bila ya kuwa acknowledge then wewe unakuja hapa kunitaka nimuheshimu? Na ndio maana nikasema angeweka hiyo link tusome wenyewe na kuweka maoni yake juu ya Forex Trading...maana anachoandika kuhusu huyu bwana Geogre Soron kiko exactly kama...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

    Umezoea kuwekewa bunduki Makalioni eeh....
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

    Si Angeweka tu link tusome wenyewe kisha aje na conclusions zake kuhusu hiyo biashara ya Forex
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

    Hilo la Umbea Umesema wewe...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

    Kumbe huyu jamaaa ametoa huku hizi nondo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natamani kufanya kazi Ikulu

    Download Here
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jenga Nyumba yako kwa Gharama Nafuu

    Kazi Nzuri
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni faida gani ataipata Mungu kwa kuwachoma moto binadamu siku ya mwisho?

    Kuna faida gani ya kuchoma Uchafu Nyumbani kwako?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Udikiteta ni dhana tu au ni real? Lets call a spade a spade. Dikteta ni mtu mwenye tabia hizi

    Je ndugu mwandishi wewe ni Pasco au Pascal Mayalla?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Changamkia starlet kwa bei poa kabisa

    chukua mill 4
  15. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la SKOL: Wafuatao pia wachunguzwe

    SKOL wako vizuri sana kama kuna barabara wamejenga chini ya kiwango wa kulaumiwa ni Serikali yenyewe pamoja na macolsutant wake, maana wao ndiyo wakaguzi kwa kila process na designer wanotoa specifications ambazo skol anapaswa kuzifuata
Back
Top Bottom