The Other Half (Simulizi)

Hiyo website mbona kwangu siioni,,,

Niandikieni upya hapa wakuu niende huko,, natumia browser wakuu 😭😪😥
 
Huyu jamaa tangu alipotuacha njiani na story ya vipepeo weusi huwa sina hamu naye tena,hata hii nina wasisi ndo kashaiacha ..
 
Mkuu The bold unaonaje uka customize blog yako ukaweka kitufe cha kusearch?? Maana si tunaotumia simu (sijajua kwa kompyuta) ukienda pale chin kwene category afu short stor znakuja baadh ya story ambazo ushazisoma maybe na znafunguka automatic kila ukijaribu.

Mkuu ingekuepo search button ungeturahisishia sana
Naomba kuijua hiyo tovuti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom