LARRYBWAY
Member
- Feb 21, 2012
- 82
- 5
Nisingependa kuwa muongeaji sana wa Tangazo hili, bali ningependa nikupe nafasi ya kuweza kupata kile kilicho bora na imara zaidi(Roho ya paka) na kuepukana na ghasia za mwendokasi na madalala.
kama Tangazo linavyojieleza hapo juu, gari iko katika mazingira mazuri kabisa, haina shida, full kipupwe-A/C, Vibali vyote vimelipiwa, tairi mpya na haijatembea umbali mrefu.
Toyota Starlet Carat
Bei inaanzia Tsh 6,500,000/= mazungumzo yapo.
Kwa mawasiliano nicheki kupitia 0717 54 73 25.
Wote Mnakaribishwa.