Jenga Nyumba yako kwa Gharama Nafuu

Jenga Nyumba yako kwa Gharama Nafuu

Siwezi kufanya hivyo kuweka kila nyumba na Clarification yake ya bei ili kuepuka Debate zisizokuwa za msingi kuhusu hizo bei kama uko seriously just call me
Huu ni uhuni sasa umeweka tangazo lanini kama hutaki tujue bei
 
Gharama nafuu unamaanisha sh ngapi? Yasijekuwa yaleyale ya NHC eti nyumba za bei nafuu ambazo wananchi wa kawaida wataafford ukiuliza bei unaambiwa Tsh 50-80 million, sasa ni mtanzania gan anayesemwa wa wakawaida akaweza kununua nyumba za bei hizo?
Huwa nashangaaga kiwango cha elimu ya hawa watu, eti nyumba ya bei nafuu ml50!! Na ukitazama wanunuzi wote ni matajiri, nilithani wangetuambia nyumba za bei rahisi million5, mfano hawa nnsf wanafanyia biashara pesa zetu na hawatupi riba, wanazalisha matirilion ya pesa sasa wanashindwaje kujenga nyumba za bei rahisi kwa ajili ya wanachama wake? Bongo bahati mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mnavaa tu kienyeji kwenye kazi zenu? Nilitegemea kuona, viatu (boots) overroll) kofia ngum Nk, Ila mpo Kienyejitu
 
Nyumba ya vyumba vitatu..master, na vya kawaida viwili kila chumba na choo chake and public toilet, kitchen varanda and family hall bei yake??
 
Inategemea sana na idadi ya tofali ambazo nyumba yako itatumia...hivyo ni lazima tuone ramani then tutembelee site, kisha tutapiga hesabu ya tofali zitakazotumika mkuu lakini kwa haraka lobour charge ni kati ya million 1.5 hadi million 3
Kwahyo m nanunua material tu
 
Inategemea sana na idadi ya tofali ambazo nyumba yako itatumia...hivyo ni lazima tuone ramani then tutembelee site, kisha tutapiga hesabu ya tofali zitakazotumika mkuu lakini kwa haraka labour charge ni kati ya million 1.5 hadi million 3
Hatari
 
Inategemea sana na idadi ya tofali ambazo nyumba yako itatumia...hivyo ni lazima tuone ramani then tutembelee site, kisha tutapiga hesabu ya tofali zitakazotumika mkuu lakini kwa haraka labour charge ni kati ya million 1.5 hadi million 3
Hyo ni pamoja na kupaua au
 
2b226b86c31ef8042a6e4f0707c17cb6.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu! Hii nyumba inavyumba vingapi? Na gharama yake ni ngapi mpaka unanikabidhi?
 
Back
Top Bottom