Recent content by mtufulani

  1. M

    Siko Free nashindwa kulala na Mpenzi wangu mpaka asubuhi kwasababu naogopa kujamba.

    KASHWAGARA...! Ti kaswagara, alimrundi isi? Siku 14 simeisha ndugu. Nenda kwenu.
  2. M

    Unafiki, uzandiki na undumilakuwili wa CCM

    serikali Tatu au moja. HAKUNA mbili. Hyo busara au inteligensia ya MBILI imepitwa na wakati. Mkituzingua kila Mkoa unadai Serikali yake na hatimaye kila halmashauri.
  3. M

    Serikali Tatu: Ni mfano wa kutoka nchi gani duniani?

    mpango mzima. serikali moja au tatu. hakuna mbili. kama vp kila mkoa na serikali yake. na kama mbili ndo zafaa basi iwe kwa zamu, na sasa iwe ya Tanganyika. Kwa maana ya kuwa na serikali ya muungano na tanganyika...! Hapo vipi? Si twataka 2 ?
  4. M

    Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

    pamoja na mambo mengine; ongezeko la matumizi ya dawa za uzazi wa mpango (majira) ni sababu kuu.
  5. M

    Makosa makubwa tunayofanya wanaume katika mapenzi

    sio daudi ndugu, ni YUSUPH! yulewa pharao! au na mie nachemka?
  6. M

    Nimechanganyikiwa.

    Maneno ya msingi sana haya. zingatia ni muda tu maumivu yataisha, yatapungua. usifanye maaamuzi yoyote ya haraka.
  7. M

    Let see how far can you go....

    private issue kivip? nyie ni mwili mmoja! kwani mkiachana au kutalikiana si unaweza kureset codes?mimi naona kuweka zuio kaika hilo kunaendana na KUTOJIAMINI, KUTOKUWA MWAMINIFU NA UMALAYA.kama amewahi kuwa na mtoto nje kabla ya mahusiano ya sasa unataka akuambie, kama ana tatizo lolotela kiafya...
  8. M

    Kukata kiuno

    hapo umenena wangu. ukiikoleza kiuno kitajipa tu. hivi vingine vya kuforce havinatija.
  9. M

    Ushauri wa haraka jamani

    kabla ya kufika bwiru girls ulikuwa umewahi kuhisi unavutiwa na wanawake wenzako? mbali na huyo kuna mwanamke mwingine unayefanya nae? kama haya sio basi una nafasi kubwa ya kupona na kuacha na tabia hii. kitu kizuri katika hili ni kuwa wewe mwenyewe unatambua kuwa una tatizo na uko tayari...
  10. M

    Nini tafsiri ya polisi kumficha vile polis mwenzao muuaji?

    hivi kwenye ile Picha yule aliyevaa kiraia, shati la blue ni nani? mkono wa kulia aliounyanyua mmeuangalia vizuri ameshika nini?
  11. M

    Wanawake Makabila Gani Sio Vicheche

    hao wanaotajwa kuwa watulivu hawana manjonjo kabisa wakati wa ku du, kazi kulalamika tu. sio watamu kabisa.Yaaani arusha kila nikiibua mzigo hovyo tuuuu. wa bariiiidi. mpaka ikabidi nianze kuuliza origin yake. cku hizi nabahatisha warangi walau nafurahia huduma. SASA HUENDA IKAWA NI WATULIVU KWA...
  12. M

    Prof. Abdallah Safari, uzalendo wako ni wa kupigiwa mfano ndani ya CHADEMA

    ..... Vipi kuhusu uwezekano wa mshindi wa pili kuanza mikakati ya kumwinda mshindi wa kwanza ilimradi tu yeye ndi achukue nafasi? mimi nadhani sheria ikiwa hivyo. Kesi za kupinga matokeo zitakuwa nyingi, hata zile zisizokuwa za msingi ili mradi tu mtu anyang'anywe ushindi. Pia vitendo vya...
  13. M

    Handbag ya Madam

    ukute kashauriwa na waganga wa kienyeji.............maana siku hizi kuna upuuzi mwingi wa kuleta utajiri. wee unaona bora kipi, akubali kukutoa wewe sadaka, aambiwe asilale kitandani au awe anakagua pochi yako kila siku?
  14. M

    51% ya wabunge wa JMT hawana shahada [Degree]

    msingi sio kujima wananchi nafasi au haki ya kuongoza. tujiulize pia, kuweka umri kulilenga nini? wakati sheria inatamka walau darasa la saba haikubagua watu? by then wananchi wote walikuwa wamefikia std 7? au wote walikuwa wanajua kusoma na kuandika? wenye degree walikuwa wangapi? sasa hivi...
Back
Top Bottom