Wanawake Makabila Gani Sio Vicheche

JANJAWEED, duh umesema sana mkuu lkn mh! edit kaka hii post

TUnalea sana udhalilishaji wa wanawake mkuu....

dogo anasahau dhana ya kujiangalia yeye kwanaza na alipotokea yeye kabla ya kukurupuka.... fikiria leo aje apewe story kwamba mamake ndio alikua bingwa wa kupigwa mitungo shule na dada zake wako hivi au vile

IT IS FUN IKIWA KAMA JOKES, ILA IKIZIDI INAKUA KERO
 
Naelewa ukicheche (kiruka njia) ni tabia binafsi isiyotegemea sana kabila la mtu. Lakini kila mtanzania halisi anajua kwamba kuna makabila yenye reputation ya kuwa wao ni vicheche hasa wanawake. Kuepuka kuchafua hali ya hewa sitatoa mfano wowote ijapokuwa najua kila asomae hapa anajua makabila mawili au matatu ambayo wanawake wao wanasifiwa kwa ukicheche (loose balls).

Swali langu ni, Je kuna makabila ambayo yana reputation ya kuwa na wanawake watulivu sana na wasio vicheche. Kwahili nitatoa mifano michache. Binafsi nimesikia mara nyingi kuwa makabila mengi ya mkoa wa Arusha yana mabinti walio tulia sana kama vile Wameru na Waarusha. Swali ni je ni makabila gani mengine ambayo wanawake wanasifiwa kwa kuwa watulivu sana na kutokuwa vicheche (majority)?
mi nadhani WAHAYA....
 
tehe...tehee.....wamakonde bwana! wametulia........! sana
 
Kaldinali kwa hapo kwenye red umechemsha, au nikuhakikishie popote utakapoenda ukiitaka hiyo huduma utaipata kwani umesema wanawake Hapa JF ilikuwepo thread ya kupata huduma hizi katika Miji yote na watu walichangia, Sasa kwa Arusha ukitaka wameru na Waarusha fika Makao Mapya zipo Guesti kibao wewe ulizia barmaid yoyote akuonyeshe Muarusha au MMeru utahudumiwa. Labda ungeanza na kutafuta bint/Msichana wa kuoa ni wapi waliotulia yaani hata ile kuwa na aibu, ya kutoa mchezo (looser ball) kweli wanaweza kuwemo katika 10 bora wanweza kuwemo hao uliowataja yaani wakajificha na kukulindia heshima. Lakini wakiwa ni wafanyakazi au wasomi wanaotumia F/B usishangae nae akakuijia na Gari Nadia akakuambia amekopeshwa na Boss
hao wanaotajwa kuwa watulivu hawana manjonjo kabisa wakati wa ku du, kazi kulalamika tu. sio watamu kabisa.Yaaani arusha kila nikiibua mzigo hovyo tuuuu. wa bariiiidi. mpaka ikabidi nianze kuuliza origin yake. cku hizi nabahatisha warangi walau nafurahia huduma. SASA HUENDA IKAWA NI WATULIVU KWA KUWA KAZI HAWAIWEZI, MIILI YAO HAINA MWITIKO KIIVYO! INABIDI WATULIE,HAWNA SOKO. WANAUDHI KWELI.
 
Back
Top Bottom