Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

jamani kwa nini ongezeko la wanawake wenye vitambi limekuwa kubwa? Idadi ya wanaume inapungua lakini ya wanawake inaongezeka! Kitambi kwa mwanamke kinapunguza mvuto au hamlijui hilo nyie wanawake?
pamoja na mambo mengine; ongezeko la matumizi ya dawa za uzazi wa mpango (majira) ni sababu kuu.
 
mimi kama mdau wa wanawake warembo wa hapa jijini nimekuwa nikijiuliza mambo kadhaa ikiwemo hili suala la wanawake wengi kuwa na vitambi. Moja ya hisia ilikuwa starehe ya pombe aina ya bia kuwa ukiendekeza lazima upate kitumbo ambacho kinaondoa mvuto kwa mwanamke. kumbe nilikuwa napotea kimawazo, nikafanya utafiti na nikapata chanzo kumbe ni utumiaji wa dawa za kuzuia mimba kwa wanawake..!! ambazo zina-side effect kubwa sana katika miili yao..
jamani kina dada wazuri, warembo vitu vingine sio vya kufanya ama kuiga..!
 
mimi kama mdau wa wanawake warembo wa hapa jijini nimekuwa nikijiuliza mambo kadhaa ikiwemo hili suala la wanawake wengi kuwa na vitambi. Moja ya hisia ilikuwa starehe ya pombe aina ya bia kuwa ukiendekeza lazima upate kitumbo ambacho kinaondoa mvuto kwa mwanamke. kumbe nilikuwa napotea kimawazo, nikafanya utafiti na nikapata chanzo kumbe ni utumiaji wa dawa za kuzuia hedhi kwa wanawake..!! ambazo zina-side effect kubwa sana katika miili yao..
jamani kina dada wazuri, warembo vitu vingine sio vya kufanya ama kuiga..!

Hakuna sawa ya kuzuia hedhi bali mimba.
 
kweli kabisa

Chanzo kingine cha wanawake kuwa na vitambi ni kujifungua kwa njia ya operation. Mwanamke akijifungua hutakiwa kujifunga tumbo lake ili lisiwe kubwa sasa kutokana na kujifungua kwa operation hivyo huchelewa kuanza na kusababisha baadhi ya akina mama kuwa na matumbo makubwa ambayo huonekana kama vitambi.
 
mimi kama mdau wa
wanawake warembo wa hapa jijini nimekuwa nikijiuliza mambo kadhaa
ikiwemo hili suala la wanawake wengi kuwa na vitambi. Moja ya hisia
ilikuwa starehe ya pombe aina ya bia kuwa ukiendekeza lazima upate
kitumbo ambacho kinaondoa mvuto kwa mwanamke. kumbe nilikuwa napotea
kimawazo, nikafanya utafiti na nikapata chanzo kumbe ni utumiaji wa dawa
za kuzuia mimba kwa wanawake..!! ambazo zina-side effect kubwa sana
katika miili yao..
jamani kina dada wazuri, warembo vitu vingine sio vya kufanya ama
kuiga..!

Hata bia na nyama zinachangia kwa kiasi kikubwa
 
....sometimes ur thread worth useless..
 
Hao wenye vitambi kazi hawawezi? Maana muonekano ukiwa mzuri huku kazi ''zero'' ni sawa na debe tupu. MIMI sipendi muonekano wa kizungu bali muonekano wa kiafrika zaidi, kwa hiyo kitambi kwangu sio ''issue''. Vitambi onyeeee! Wenye vitambi tutafutane.
 
Back
Top Bottom