Ushauri wa haraka jamani

nilikua nasoma Bwiru girls sasa kulikua na mambo ya kijembe, best, sweet, na ukifika lazima upate best, sweet, darling waliokutangulia vidato ndo wanaokuomba nikama mtu kukuaproach ukikubali ndo mnakuwa mnafanya hivyo so nilianza nikiwa form onne jaman mpaka wakati mwingine nachukia basi tu


kabla ya kufika bwiru girls ulikuwa umewahi kuhisi unavutiwa na wanawake wenzako?
mbali na huyo kuna mwanamke mwingine unayefanya nae? kama haya sio basi una nafasi kubwa ya kupona na kuacha na tabia hii.
kitu kizuri katika hili ni kuwa wewe mwenyewe unatambua kuwa una tatizo na uko tayari kuacha.
matatizo kama haya huwezi kuacha peke yako bila kupata msaada unaoeleweka. ni kama watu wanavyoshindwa kuacha pombe, sigara, kupiga puli, kununua makahaba, kupiga chabo, kutumia madawa ya kulevya n.k wanakuwa wanajua ni vibaya ila kwa kuwa vinawapa raha na wanakosa msaada stahili wanaendelea huku wakijilaumu.
NINACHOKUSHAURI, USIKATE TAMAA NA WALA USIOGOPE. zingatia; tafuta wataalum wa magonjwa ya akili watakusaidia. watakueleza vizuri njia za kubadili tabia, and during the course of Rx usikate tamaa kwani mabadiliko ya tabia huchukua muda. pole mdogo wangu
 
nilikua nasoma Bwiru girls sasa kulikua na mambo ya kijembe, best, sweet, na ukifika lazima upate best, sweet, darling waliokutangulia vidato ndo wanaokuomba nikama mtu kukuaproach ukikubali ndo mnakuwa mnafanya hivyo so nilianza nikiwa form onne jaman mpaka wakati mwingine nachukia basi tu

Jamani pole sana, ila unaweza kuacha hyo tabia yakuwa na mpenzi wakike kama utakuwa na nia thabiti yakuacha pamoja na hofu ya mungu.
 
nasoma na chuo kimoja sasa nashindwa kumkwepa ghafla, boyfriend wangu sio muelewa kabisa na amekamata msg nyingi kutoka kwa mpenzi wangu huyo na kuhisi kuna mwanaume anapitia kwake kuwasiliana na mimi nikimshirikisha atanitoa kizazi[/QUOT

The best way to stop the behaviour is to stay far from it...,
 
nasoma na chuo kimoja sasa nashindwa kumkwepa ghafla, boyfriend wangu sio muelewa kabisa na amekamata msg nyingi kutoka kwa mpenzi wangu huyo na kuhisi kuna mwanaume anapitia kwake kuwasiliana na mimi nikimshirikisha atanitoa kizazi

The best way to stop the behaviour is to stay away from it...
 
Unachukia kitu gani saa nyingine msagaji??eti msaada wa haraka??na hiyo miaka 6 mbona hukuwa na haraka nayo ukaacha mapema?? Unachoboa unajijua kama ni msagaji,na unajua kama unafanya makosa,sema unatafuta njia za kuhalalishiwa huo usagaji.

Hapana ndugu yangu, miaka 6 ilopita hakujua anafanya nini na hakuona kama ni kosa kufanya hivo..
Katambua kuwa anachofanya ni kinyume na maadili, sasa anaomba msaada ili aweze kutoka huko...
Kinachomtatiza ameshaathirika zaidi na jinsia yakike hvo anakosa hisia kwa bf wake. Muhimu hapa ni kumsaidia na sio kumkandamiza kwa mzigo wa lawama.
 
Kutambua kuwa ni tatizo kwako at the age of 22 ni mwanzo mzuri wa kulifanyia kazi ili uweze kujua kama wewe ni lesbian or straight. Kwa mtazamo wangu miaka 6 siyo muda mdogo sidhani kama ni rahisi kwako kuacha tabia hii ghafla, its a gradual process naona kama vile u need psychological help kutoka kwa wataalamu/psychologists...Pia usimsahau Mungu, ukimweka Mungu upande wako hakuna atakayekuwa juu yake! Kila la heri.....
 
Kutambua kuwa ni tatizo kwako at the age of 22 ni mwanzo mzuri wa kulifanyia kazi ili uweze kujua kama wewe ni lesbian or straight. Kwa mtazamo wangu miaka 6 siyo muda mdogo sidhani kama ni rahisi kwako kuacha tabia hii ghafla, its a gradual process naona kama vile u need psychological help kutoka kwa wataalamu/psychologists...Pia usimsahau Mungu, ukimweka Mungu upande wako hakuna atakayekuwa juu yake! Kila la heri.....
 
kama umeshaanza kuchukia hiyo tabia mpaka unaomba ushauri ujue uko karibu kuacha ni jitihada zako mwenyewe zinahitajika moja ni kuwa mbali kabisa na huyo gf wako maana udhaifu pekee ulioubakiza kwenye hako kamchezo ni kuwa karibu nae mu avoid kabisa kama roomet wako hama jitahidi uache alafu id yako ya hapa jf inaonekana kam jina lako na unasema ulisoma bwiru magazet ya udaku yakigundua hili yakakufuatilia kesho utakuta picha yako kwenye front page usisahau kumuweka mungu mbele kwa kila jambo
 
kila kitu kipo mikononi mwako, uwezo wa kumkatalia huyo gf wako unao wewe na wala sio mtu mwingine, unachotakiwa ni kumwambia hutaki na atambue unamaanisha hutaki, kama anang'anga'niza jaribu kuwa mkali, mtishie hata utamwambia bf wako, hivyo lazima ataogopa, japo utajenga uhasama naye lakini hiyo ndio njia pekee! kuwa mkali hasa tena hasa, ikiwezekana vunja hata urafiki wa aina yoyote na huyo gf wako, ubaki urafiki wa kusalimiana tu.
 
yaani ungeomba ushauri miaka 6 iliyopita ingekuwa poa sana!!kama huwezi acha,try threesome
 
yaani ungeomba ushauri miaka 6 iliyopita ingekuwa poa sana!!kama huwezi acha,try threesome

Kwa kuwa hujui maana ya addiction! Miaka 6 iliyopita tambua kuwa alikuwa na miaka 16. Akili ya wakati huo ni sawa na aliyo nayo sasa? Hata wanaoacha madawa ya kulevya wanaacha mwaka huohuo wanapoanza kuyatumia? Probably the lucky few!
 
"My Girls Got A Girlfriend (Remix)"
(feat. Ray L)
Remix shawty
It's Ray and Trey Songs
Remix shawty
My girl get down to to
I know what cha like (I know what cha
like)
(Knovict) Remix
[Verse 1:]
I just got off of work it's 1:30
I'm kinds hungry and I know my girl
lonely
Headed back to my crib it's kinda early
Surprise my girl because I know she
waitin
I open the front door
I hear moanin
For real somebody I'm finna kill
somebody
Then I get closer I hear graonin
Bust in tha door and see my girl with a
chick
That means I know that
[Chorus:]
My girl gotta girlfriend
I just found out but it's alright
As long as I could be with her to
My girl gotta girlfriend
It's really not a problem
Cause I'm a make do what it do
Cause havin two chicks is better than no
chick
I rather just join in
Keep my girl and keep the other to
My girl gotta girlfriend
It's really not a problem
Cause I'm a make do what it do girl
[Hook:]
If you so sexy, you so sexy
I wanna see you clap, I wanna see you
clap
If you so sexy, you so sexy
I wanna see you clap
[Verse 2:]
I been wantin to tell you
That last week yo girl was up in my ride
But mines was drivin
And I was ridin by
(oh oh) Thought that I say hi
(follow follow) About fo mintues
Then it got interestin
Tow I could not be mentionin
How they touchin kissin
The front seat of my best
I think it's kool shit I didn't do shit
But tell me if you kool with
(your girlfriend and my girlfriend and
me)
[Chorus:]
My girl gotta girlfriend
I just found out but it's alright
As long as I could be with her to (you
could be with em too)
My girl gotta girlfriend
It's really not a problem
Cause I'm a make do what it do
Cause havin two chicks is better than no
chick
I rather just join in
Keep my girl and keep the other to
My girl gotta girlfriend
It's really not a problem
Cause I'm a make do what it do girl
My girl Yo girl (songbook)
(konvict) ohohoh yea ohohoh yea
(konvict) I'm a have you sayin (huh)
(ohoh)
You gone be sayin (hey shawty)
I know what cha like
I'm a have you sayin (huh) (ohoh)
You gone be sayin (hey shawty)
I know what cha like
[Chorus:]
My girl gotta girlfriend
I just found out but it's alright
As long as I could be with her to
My girl gotta girlfriend
It's really not a problem
Cause I'm a make do what it do
Cause havin two chicks is better than no
chick
I rather just join in
Keep my girl and keep the other to
My girl gotta girlfriend
It's really not a problem
Cause I'm a make do what it do girl
My girl and yo girl they do what they do
Huh huh
My girl get down to huh huh
My girl get down to huh huh
 
Back
Top Bottom