Ni msichana gani atakataa baada ya haya?

af baada ya haya yote unakuta mwenzako ka invest maneno tu kiulani amemdondosha dem huyohuyo kwenye kigodoro chumba cha kupanga manzese,hapa si ndo utapojiua "Love and Faith,what is your price?"
 
Let's say its a weekend jumamosi flani tulivu hivi.. Siku hiyo uko njema vibaya mno umepiga magumashi yako taa ya kijani itawaka.. Mara Ukakumbuka kale kabinti unakokatoleaga udenda daily. Ukamvutia waya. Ukamuomba mwende lunch akakubali. Ukapitia petrol station fasta ukaweka full tank then ukamuibukia mtaani kwao.. Mtoto akauliza lunch wapi ukajibu usijali baby hapo southern sun 2. Straight mpaka uko. Mkapiga msosi hadi mida flani ya nane nane hivi. Mkageuza. Njiani ukamwambia una hamu ya kutoka usiku huo n ukaulizia vp kama anaweza akakupa company nn? Bibie akajibu ataangalia. Poa mtu mzima ukachekecha akili fasta ukaamua hivi.. Baby hebu tupitie hapo mlimani kwanza. Mlipofika straight mkaingia pale For You 2 ukamchagulia kivazi k1 matata sana. Then ukampitisha pale Sheer Illussion akatengeneza nywele fresh then ukamrejesha mtaani kwao kwa miadi kuwa utampitia kwenye mida ya saa 1 1 hivi. Kweli bana mida hiyo ukamuibukia tena mtoto anawaka kinoma.. Frm there kituo cha kwanza ukaamua mkacheki movie cinemax kubuy time kidogo hadi mida flani ya 3 hivi then mkapitia nyumbani lounge mkala kidogo n story mbili tatu ofkoz na chupa kadhaa hapo hadi mida flani ya 5,6 haoooo thai village kupata burudani.. Kufika hapo watu wengi wengi baby hajapapenda sana ukamsoma mkahama kiwanja haoo garden biastro sasa baby karidhika. Mkala maisha kiasi chake hadi saa10 flani mkaamua kuchomoka.. Mpaka muda huo kilaji kimekolea baby akajawa na wasiwasi kama utafika salama baada ya kumdrop kwao so akaamua ni bora ahakikishe umefika salama kwako then aondoke kwao. Kufika kwako UKAKOMAA watoto wa kiume nadhani mtanielewa vyema hapo. Swali je! Bi mdada ataweka kukuchomolea kweli??

Ni Mtazamo wadada msininune.

MBONA GHARAMA SN?
KWA LIPI HASA?
KIPINDI CHOT UNAMTOLEA UDENDA UNAKUWA UMEGUNDUA HICHO NDIO ANACHOHITAJI TOKA KWAKWO?
kama ni limbukeni utampata! ila vinginevyo utapiga za mezani.
 
Atakuona too desperate, hapo lazima upewe busu la paji la uso uambiwe asante kwa nice time bye!
 
Kwa styl hyo utakuja toswa vibaya ww, unadhan hzo pesa utakuwa nazo cku zote? Mapenz c gharama hvyo, labda uwe unataka kumgonga mara1 nakusepa.
 
Kwanza its hard kukubalia offer zote hizo kwa mpigo, na hata ikitokea basi inategemea na huyo dada anafeel nini......so far kuchomoa ni very simple! Btw, umewaza vya kusadikika sana ndugu!
 
Mmmh labda....wanasema tuzingatia kwenda na wakati so dot.com era labda kwa baadhi yao inawezekana lkn kwa mtazamo wangu kama one of the BBC(Born Before Computers)era naona kama a bit unrealistic and artificial!
 
Thats too expensive brother,you just talk,talk to her,akikataa si basi bhana,maisha yatasonga tu.
 
huyu mwanamke au msichana unatafuta nini hasa akichomoa unaweza kujiua ni bora kutokufanya mambo kama haya kwa binti ambaye siyo mkeo
 
Mie nimewazoea sasa, maana huwa wananichuna na kuingia mitini, kila ninayem-date anadai yuko kwenye siku zake.......
 
mi nagonga kwa gharama ya chumba tu.....duh, kaka, matumizi yote hayo kisa down?? utakuwa hujengi!!
 
umeonaeeee muda unatufunza mengi .....muda ni kila kitu!!! [QUOT
E=Dark City;4637047]Hamu ni tamu kuliko utamu wenyewe!!

Babu DC!![/QUOTE]
 
Mmmh labda....wanasema tuzingatia kwenda na wakati so dot.com era labda kwa baadhi yao inawezekana lkn kwa mtazamo wangu kama one of the BBC(Born Before Computers)era naona kama a bit unrealistic and artificial!

Born Before Computers ( BBC) nimeipenda sana hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom