Recent content by mtoto wa mfugaj

  1. mtoto wa mfugaj

    JamiiForums Tanzania !!!!!!!!!!!!????????????

    inaonekana ana siha njema tu tatizo matunzo,ustawi wa jamii lishughulikieni na hili sio kila siku mambo ya women empowerment
  2. mtoto wa mfugaj

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa Tanzania hawa hapa!!!

    haya bwana sms delivered
  3. mtoto wa mfugaj

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ananipenda nifanye nn na ananitishia maisha

    mshitaki kwa mumewe
  4. mtoto wa mfugaj

    JamiiForums Tanzania ningekuwa bwana harusi ningekimbia

    vioo vipo ila hawajioni,urembo mwingine ni kero kwa watazamaji
  5. mtoto wa mfugaj

    JamiiForums Tanzania Lema: Ikulu imenivua ubunge ; Ikulu yamjibu vikali

    mnemipa mtazamo mwingine ngoja niendelee kutafakari kiundani hili swala
  6. mtoto wa mfugaj

    JamiiForums Tanzania Hata kama ni mchina jamani hii balaa sasa

    tobaaaaaaaaaah
  7. mtoto wa mfugaj

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ngozi alioupata Dr Mwakyembe ni ule ule alioupata hayati Mwalimu Nyerere

    ama kweli ukishangaa ya musa utastaajabu ya firauni
  8. mtoto wa mfugaj

    JamiiForums Tanzania 11 reasons why many girls are still single

    1. The nice men are ugly. 2. The handsome men are not nice. 3. The handsome and nice men are Gay. 4. The handsome, nice and heterosexual men are married. 5. The men who are not so handsome, but are nice men,have no money. 6. The men who are not so handsome, but are nice men with money...
  9. mtoto wa mfugaj

    JamiiForums Tanzania Hatari kubwa!

    jamaa anapenda vya bure,amekoma, tehe tehe tehe......
  10. mtoto wa mfugaj

    JamiiForums Tanzania Sasa nimechoka naanika PM zote za wanaonitaka kimapenzi kupitia JF

    mbaazi ikikosa maua husingizia jua
  11. mtoto wa mfugaj

    JamiiForums Tanzania Kulikoni: Reginald Mengi kuwa kimya siku hizi??

    wabongo bwana uwe kimya wanachonga uongee sana wanachonga,sasa ukimya wake unawahusu nini kila cku sio lazima aonekane kwenye vyombo vya habari.kila mtu ajali ya kwake yanayomletea maendeleo vingine si vya lazima.habari ndio hiyo
  12. mtoto wa mfugaj

    JamiiForums Tanzania Achaneni na mikorogo. Huu ndio uzuri wa ngozi nyeusi!

    wazungu walimuona huyu ndio maana wakatuita black people
  13. mtoto wa mfugaj

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hilii la ajabu...

    dunia haiishiwi vituko
  14. mtoto wa mfugaj

    JamiiForums Tanzania Serikali sasa taabani, wanafunzi vyuo vikuu kutolipwa pesa zao.

    hatuna serikali tanzania tuna genge la mafisadi ambao wamepeana uongozi ili mwenye kusafiri kila siku asafiri na mwenye kula pesa za wananchi ale tu.kiukweli zamani nilikua nasikia fahari sana kua mtanzania ila sasa hivi hali ni tofauti kabisa
  15. mtoto wa mfugaj

    JamiiForums Tanzania Condom zilizoingizwa nchini Hazifai Kukinga ukimwi

    this is a serious accusation u better have some serious evidence.take note of dat
Back
Top Bottom