Achaneni na mikorogo. Huu ndio uzuri wa ngozi nyeusi!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Achaneni na mikorogo. Si unaona mwenyewe?

426107_10151320486895403_630245402_23059184_153140394_n.jpg
 
Kwa comments hizi chache kabla ya posting hii, nimeona kabisa kuwa weusi si tija!!!! All comments are derogatory to this woman's blackness

Hapo vipi?
 

Attachments

  • 259984_2158405598115_1185768164_32824964_335653_n.jpg
    259984_2158405598115_1185768164_32824964_335653_n.jpg
    34.9 KB · Views: 115
kuna dada mmoja hapa mtaani kwetu ana saloon yake. nasikia ni mweusi kuliko huyo. lakini ukienda kichwa chini miguu juu unaweza kudhani ni mdhungu kwa jinsi alivyo jikwangua.
 
Back
Top Bottom