ningekuwa bwana harusi ningekimbia

ningekuwa bwana harusi ningekimbia

Mpua kama bondia

Hata bondia ana afadhali, huyu kajichubuwa na hiyo rangi na hiyo pua haziendani. Inabidi amma aache kujichubuwa au aendelee kujichubua lakini aende India wakambandue hiyo pua na kumuwekea nyingine inayoendana na mkorogo.
 
Tusijetukamkosoa Mungu na uumbaji wake, pua has nothing to do with make up au mkorogo.

Urembo wa hivyo upo na usikute ndo uliompatia mume

Sijaona hata cha ajabu kwenye uso wa Sauda Mwilima zaidi ya ule mkorogo wake wa kila siku

Gaijin, huo mkorogo wa kila siku sio cha ajabu? mwanamke kujikandika mkorogo mpaka ufanane na sanamu sio ajabu? unaandika haya kutetea huu "urembo" ukiwa serious au unatania?
 
Yani engagement alipendeza kuliko arusi

_MG_4668+-+Copy.jpg
 
wallah astakafir huo sio upambwaji unaomsujudu mwenyeaz mungu!wala hawatoweza pata thawabu yeyote!ngozi ikizeeka kama nyati mzee basi kubali kubaki hifadhini ngorongoro usiende arusha city utajiaaibisha!sura gani za kukomaa hivyo zinakuwa kama mti wa mzambarao?AISEE CLEME AHSANTE SANA MWANANGU,NILIPOKUWA NASALI KABLA SIJASEMA AMINA NIKAONA UJUMBE.HII NI TEKNOLOJIA GANI AISEE? SIBAKI?????????????????JAMANI MBONYI TSAFO CLEMEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Daaah ukweli ni kwamba cream ni mbaya mno mno tena ukizidisha ndo kabisa,pata picha hawa asubuhi wakiwa wanaamka wakoje kama hapo wamerembwa lol!!
 
Mbona analipa kuliko wewe hapo
Sema suu
otis
 
Wote hao ni macelebrity wadogo wa Bongo..mmoja ana blog yake ..

Huyo Sauda Mwilima kumuweka hapa na kumdhihaki inaweza kuwa inakubalika kwa vile yeye ni public figure....

Mnalolifanya kwa huyo mwengine sivyo hata kidogo

Dida wa G ni celebrity kama mlikuwa hamjui. Ni host wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani, Times FM. Katika genre ya taarab hakunaga host kama Dida.

Blog yake hii hapa

Tovuti ya Times hii hapa

Their statuses as public figures make both of them fair game.
 
Sielewi mods wanafurahishwa na huu mwenendo wa hii thread au vipi. Kuingilia faragha ya mtu si kitu chema hata kidogo. Wanachowafanyia hawa akina dada kwenye hii sredi si haki kabisa. Nashangazwa na baadhi ya "wanaume" nao kufuata mkumbo wa kuwaponda hawa akina dada.

Hao wadada wawili kwenye hizo picha ni public figures na hizo picha zipo kwenye blogs kadhaa. Hata Dida mwenyewe aliziweka baadhi ya hizo picha kwenye blog yake.

Sasa kama walikuwa hawataki watu wazitolee maoni wasingeziweka kwenye blogs. Pindi unapoweka picha zako kwenye mitandao ya kijamii basi ujue faragha inayokuja na mambo binafsi inapotea kwa sababu kwenye mitandao ya kijamii hakuna reasonable expectation of privacy.
 
ukiwa usoni uko disorganised unaenda taratibu na io mikorogo na mi make up yao.... ona ss kama vijini watu jaman mmh.
 
Hili la mtu kavaa nini kajiremba vipi,tukilijadili humu jamvini litatufaa vipi watanzania? Hili ni la mtu mwenyewe kujiweka apendavyo tukipoteza muda wa kumjadili tutakuwa tumeishiwa ama na ustaarabu ama tumekuwa na ufinyu wa kufikiri na kutafakari mambo yanyoigusa jamii yetu na Tanzania kwa ujumla.
 
Ki ukweli dada zangu mnahitaji jukwaa ambalo mtalitumia kuelekezana , kukosoana na kupongezana kwa habari ya Urembo kwa Ujumla Yaani Mavazi, makeups,Hairdressings . Kukosoana siyo vibaya kwa kuwa mnasaidiana, sikubaliani na yule ambaye anafikiri kuwa mnawananga wale.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom