Matajiri wa Tanzania hawa hapa!!!

Yaani Mama wa Nyumbani Fida Hussein (mkewe rais mwinyi) ni tajiri kuliko Mengi, Rostam, Manji, Lowassa, Patel, Dewji, na ni mke tu wa Ali Hassan Mwinyi tena hajawi kufanya kazi (labda zile Kokeni zilizotaka kumtoa roho mrema) halafu tunawatafuta mafisadi wengine wapya? Mwinyi majengo anayajenga kwa chenji ipi? Loliondo? Jamani Wazanzibari hawahui kuiba, wao wanajichulia na ni mwiko kumzuia au kumkosoa
 
Sheikh Karume aliiba kuliko mtu mwingine yeyote Tanzania, hana uchungu wowote kwani hakuwepo kuona uchungu wa Mapinduzi yalofanywa na Nyerere kwa kumtumia kijana wake John Okello
 
sema mbona kati ya hao wote wakristo ni wanne tu, wengine wote waislam, lakini bado tu hawana uwezo wa kuwasaidia waislam wenzao...chukulia mfano matajiri wa kiislam hao wangefanya kama anavofanya mengi, au wachange kujenga shule tu badala ya wao kuchangia milioni mia moja ili watu waingie yanga na simba bure....pesa bila akili ni sawa na sifuri.

Mbona kila kitu unatazama kiudini tu?japo unaongea point'faham kuwa wengne tunakereka sana na hii style ya kutazama mtu kwa dini'kwa sbb tz yetu tumesoma na tumekuwa pamoja bila kujali dini zetu'na mpaka sasa wengi wetu tuna marafiki ndugu majirani wadini zote'badilika hii nchi sio ya kidini na wala haiwezi kuwa ya kidini hata siku 1
 
LIST OF RICHEST PEOPLE IN TANZANIA

5.Rostam Aziz: Caspian; Vodacom,New habari corporation with news paper
like dailynews,habari leo etc
Nimecheka hapo kwenye Red kuwa Rostam anamiliki hadi DailyNews!
 
Watanzania bwana..hata kama watu wanatuibia sisi tunawashangilia tuu. Imefika mda sasa tuache ushabiki wa kijiweni,watu hawalipi kodi sisi tunawasifia matajiri wa tanzania??? what a shame?????
2015 sio mbali tutawapora mali zao!!
 
Mbona Kigoda, Mkapa, Idd Simba, Idris Rashid, Noni, na wengine waliokwapua kwenye kamradi ka EPA hawamo?
 
sema mbona kati ya hao wote wakristo ni wanne tu, wengine wote waislam, lakini bado tu hawana uwezo wa kuwasaidia waislam wenzao...chukulia mfano matajiri wa kiislam hao wangefanya kama anavofanya mengi, au wachange kujenga shule tu badala ya wao kuchangia milioni mia moja ili watu waingie yanga na simba bure....pesa bila akili ni sawa na sifuri.

"like"
 
Back
Top Bottom