Recent content by mtomzinga

  1. M

    Dalili za mwanamke anayekupenda

    hiyo no 1 na 5,unitokea sana, kna msichana atasimuelewagi anamaanisha nn, kuna siku nlimuektia nlimshika kiuno mbele za watu, akafoka ile mbaya bas nkamwambia kuanzia leo usinijue, baada ya km siku 3 iv akajileta mwenyew mtomzinga mambo baby, yaan nlimwangalia alaf cool baya, ile naondoka sio...
  2. M

    Kagera: Askari wa kitengo cha Intelijensia aliyetoweka siku 3 apatikana akiwa amefariki Ufukwe wa Ziwa

    sio bure, kna kitu tu anakijua yeye /marehemu na hao watoa roho ,tena nadhan ni very sensitive issue
  3. M

    Je, kuna uwezekano Tanzania kupata Rais asiye mtanzania?

    tanzania kuwa maskini ni mpango mkakati (strategic plan) wa watu fulani waliodhamilia kabsa sababu hakuna sababu za maana tz kuwa iv, kwa mfano, leo hii tuna wazir wa elimu huyu mm simuelewi nn malengo yak, 1.kapandisha vigezo vya kuingia a level na a level kwenda chuo, hii inawaathir sana...
  4. M

    Nani alitafsiri filamu ya Yesu kwa kiswahili?

    mm naomba niseme kile nachokiobserve kwenye iyo muvi, najiaminisha kuwa hapa kna possibility ya uwepo wa programm za kubadili sauti kwenye muvi sababu, sauti anayozungumza jesus m naona inafanana ktk kila muvi iliyotafsiriwa ktk kila lugha. i stand to b corrected
  5. M

    Laana-je mwili unaweza kujidhuru?

    bro naomba nipe mfano ata mmja wa mtu wa america au ulaya aliyepata laana kwa kutomueshimu mzaz wak, mkuu akili yako ndo kila kitu ukitumia vbaya tu bas umejiumiza mwenywe
  6. M

    Tupeane uzoefu siku ya kwanza kuja bongo

    ww kweli kipochi, kwa taarifa tu babu yang kaja mjini 1954, baba yang tu hafahamu ata lugha ya kwao tu, mdgo wang hizo zilikuwa hustle za skuli mkoani ndo maana nkaandika ivo, ila mm mjn ktambo ,tumegonga sana makonda mjini fire hapo enzi sa skuli
  7. M

    Tupeane uzoefu siku ya kwanza kuja bongo

    watu weng wa mikoani huona dar km ulaya, nlipokuwa a level kanda ya ziwa kila mwanafunzi alikuwa anapenda jinsi nlikuwa naongea walikuwa wanasema "ninaongea haraka haraka" wakat mm pia nliwaona siwaelew vizur, kiufup walinikubali sana sana na walikuwa wakiniita MBONGO,in short wanapakubali sana dar
  8. M

    Kati ya waliosoma na wasiosoma ni wepi wanaujuzi zaidi kitandani?

    nahisi jamaa amesomea education labda coz iyo topic iyo fom 3 so km anasoma tna bas mtoa mada kasomea ed
  9. M

    Laana-je mwili unaweza kujidhuru?

    hakuna kitu kama icho.........laana, ila nachofahamu mm mawazo yako mwenyewe ndio chanzo cha iyo inayoitwa laana, kiuhalisia hakuna laana
  10. M

    Nafasi za kazi NBS

    Acha uongo mkuu, mm nimefanya hapo kazi kwa muda (temporary) nikiwa bado nasoma tu chuo wanalipa vzur sana na sikusoma iyo course ya hapo changanyikeni cha msingi connection tu mzee, hapa mjini km humjui mtu bora ukalime tu
  11. M

    Tunaotoka mkoa wa mkoa wa MARA njoo hapa

    siku ya kwanza kwenda hapo sirari, nlishangaa sana jinsi wanavyoishi hawa watu,mauaji kila kona , ila wakijua km ww mgeni hapo ndo utalia wanawatesa sana wasukuma migodini. nb:mm mwenyew ni mkira wa sirari ila nlizaliwa mjini ,so, nlikuwa naendaga kusalimia tu amang'ana muraaaaaaaaaaa
  12. M

    Connecting the Dots: Waziri Mpango na Dotto James(MoF)

    na hiyo ndo point wanayotumia viongozi hawa wa ccm kuwajaza ndugu na watoto zao BOT, iv ww hauoni hapo kna conflict of interest?,wewe unadhani hawawezi kufanya maamuzi kwa interest zao au ya uko watokako?,serikali za afrika zimepoteza kabisa nguvu kazi hasa vijana wenye vision na...
  13. M

    Rais Magufuli anaendesha nchi kwa misingi ya upendeleo wa kifamilia, kikabila na kikanda!

    yaani ningekuwa mm moderator nngetoa iyo rank ya jf-expert member sababu wewe ni mburura, iv katba inasema attorney general anateuliwa na nan?, na huyu aliyepo hakuteuliwa na jpm, je ametueliwa na pepo toka mbinguni?, embu rejesha kumbukumbu siku aliyeapishwa jpm , nan alikuwa mtu wa kwanza...
  14. M

    Kwa matokeo haya, TCU legezeni Kamba kwa hawa vijana wa sayansi

    mm kila siku najiulizaga juu ya uraia wa ndalichako na mkuu wa kaya sababu naona km wana agenda ya siri kwenye elimu.kwa wale tuliosoma science a level shule za serikali tutakuwa tunaelewana vizur, shule haina kila kitu kuanzia walimu hadi vitabu , huko kwenye vifaaa vya maabara ndo usiseme, m...
  15. M

    Hii ndiyo St. Marys Mazinde juu iliyotoa Tz One Form Six

    Kwa hali ilipofkia, sitoshangaa nikiona vijana hasa masikini wakishika smg na lmg kudai haki ya utawala wa nchi yao.CCM muogopeni mungu kwa mlio fanya inatosha ,mwenyekiti wenu anasema elimu bure wanae wamesoma st mathew, hii ni dharau sana kwa watanzania tulioitwa wapumbavu. Any way nampongeza...
Back
Top Bottom