babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,222
- 3,176
Wacha kulazimisha mambo! Honyesha huo undugu ukoje badala ya kulazimisha mambo ya kufirikika!Hata mm nimezaliwa Arusha ila sio mmasai
Wacha kulazimisha mambo! Honyesha huo undugu ukoje badala ya kulazimisha mambo ya kufirikika!Hata mm nimezaliwa Arusha ila sio mmasai
Hebu ongeza nyama kidogo , kuna kitu unakifahamu wewe .Duh Ndg Wawili Wote Wizara Moja Ya Fedha Wakiwa Kwenye Nyadhifa Za Juu Za Maamuzi.
Wilaya Mpya Ya Buhigwe Mkoa Wa Kigoma
Sehemu InaitwA Kasumo Huko Kwenda Burundi Na Mguu Tu.
Acha Nami Ningoje Majibu Ya Hawa Watu Wakoje
Huku Tukilishwa Yamini Uchumi Unakuwa Kwa Hali Nzuri Sana
Ngoja habari maelezo walete ufafanuzi .Huu ni ukanda mtupu
Anawe kabisa na maji!Fikicha macho .
hata kama wanatoka Somalia!sijaona sabab ya kuandika haya..kama wana sifa za kuwa ktk nafasi hizo basi waache walitumikie taifa..
Kama Trump na binti yake, mtoto wa kiume na mkwe...hakuna tatizo so long as kazi inapigika, ila kama kuna mambo ya fwedha kuliwa hapo basi issue nyingine, leteni vidhibiti..Hawa ni wateule wa Rais Magufuli, ila kuna taarifa zinazodai kuwa wawili hawa (Ndg. Dotto James ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Waziri Philip Mpango ambaye ni Waziri wa Fedha) ni ndugu na wote ni maswahiba wa 'mkuu wa kaya'. Endapo tetesi hizi zina ukweli, tutarajie nini? Kwa anaowafahamu wawili hawa, tafadhali tusaidie kujua mbivu na mbichi.
na hiyo ndo point wanayotumia viongozi hawa wa ccm kuwajaza ndugu na watoto zao BOT, iv ww hauoni hapo kna conflict of interest?,wewe unadhani hawawezi kufanya maamuzi kwa interest zao au ya uko watokako?,serikali za afrika zimepoteza kabisa nguvu kazi hasa vijana wenye vision na creativity,vichwani wamejaza michezo ya ajabu km betting na upuuzi mwingine, kijana embu fungua bas iyo akili ,usituaibishe kwa ubashite wak,araaaaaaasijaona sabab ya kuandika haya..kama wana sifa za kuwa ktk nafasi hizo basi waache walitumikie taifa..
Kubali kaka ,huyo Philip mpango ,ni mdogo Wa askofu mpango,na amesoma myama buhigwe kgmMkuu hakuna haja ya kupishana kwa jambo ambalo halina maslahi kwa nchi, mimi namfahamu hivyo inatosha.
Poa mkuuKubali kaka ,huyo Philip mpango ,ni mdogo Wa askofu mpango,na amesoma myama buhigwe kgm
Huyu jamaa yupo wapi?Wacha tu tutengeneze Lakezone Empire
Si mlitupa nchi wasukuma? Au mnafikiria Huyu ni yule Wa msonga?....
Zitto aliwaambia nendeni mkamsome Putin mkakataa lawama za nini?.....
Huyu jamaa yupo wapi?Wacha tu tutengeneze Lakezone Empire
Si mlitupa nchi wasukuma? Au mnafikiria Huyu ni yule Wa msonga?....
Zitto aliwaambia nendeni mkamsome Putin mkakataa lawama za nini?.....
Mmoja alisema; Ukiniteua Ubunge na kunipa kuzilinda Fweza za nchi, Nipatie FULANI awe Katibu wangu. Mwingine akaitika: HEWALA!mbona sijaona dots za kukonekti?
Waziri Mpango? Morogoro? Tema mate chini..Mhe Waziri anatokea Morogoro
Trump alimteuwa mkwe wake kuwa mshauri wa Marekani, kamteuwa mtoto wake kuwa mshauri wake,na hiyo ndo point wanayotumia viongozi hawa wa ccm kuwajaza ndugu na watoto zao BOT, iv ww hauoni hapo kna conflict of interest?,wewe unadhani hawawezi kufanya maamuzi kwa interest zao au ya uko watokako?,serikali za afrika zimepoteza kabisa nguvu kazi hasa vijana wenye vision na creativity,vichwani wamejaza michezo ya ajabu km betting na upuuzi mwingine, kijana embu fungua bas iyo akili ,usituaibishe kwa ubashite wak,araaaaaaa
Nenda kazimue jibapa la Jana,hujui hata unaishi nchi ganiMhe Waziri anatokea Morogoro na Katibu Mkuu anatokea Mwanza kama sikosei hakuna undugu wowote.
Siku nyingi hiyoWaziri Mpango? Morogoro? Tema mate chini..
Huyu sio Mustafa Mkulo acheni uzushi, Waziri wa fedha hatoki Kilosa na wala hatoki MwanzaKamanda mimi sitaki kubisha sana, ukweli ndiyo huo jamaa kwao ni Kilosa kwa babu na bibi