jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
tuko pamoja hata ukisoma koment yanguSi bora hata mwanamke upendwe, hakunaga hiyo fomula!
Ukijipeleka kwa ME ni mwendo wa maumivu tuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
tuko pamoja hata ukisoma koment yanguSi bora hata mwanamke upendwe, hakunaga hiyo fomula!
Ukijipeleka kwa ME ni mwendo wa maumivu tuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
OK..poa moneytalk
Hahahaa.Mmmh* dalili nyingine atasema nashida na pesa kesho anko au kaka akituma ntarudisha amini hii ndio dalili tosha
Hahahaaaaaaa!! Alafu uliniahidi ujue. Nakukumbusha tu.
We subir mama muda bado endlea kupet petHahahaaaaaaa!! Alafu uliniahidi ujue. Nakukumbusha tu.
Khaaaah! Nishachoka mimi, haya mambo ni kipaji ujue. Kama unatuma tuma, kama hautumi basi usinichoshe.We subir mama muda bado endlea kupet pet
Mimi kwa dalili hizo kumbe hata demu wangu hanipendi, ngoja nikae mkao wa tahadhari lolote laweza kutokeaKwa dalili hzo duniani hakuna anae nipenda
Na mim kwasababu sipend kukuchosha acha nisikutumieKhaaaah! Nishachoka mimi, haya mambo ni kipaji ujue. Kama unatuma tuma, kama hautumi basi usinichoshe.
umeongea point sana,natamani wakuelewe kama nilivokuelewa mimi,kuna dem alikuwa ananipenda halafu mimi sikumpenda, akipiga cm nafikiria atamaliza saa ngapi kuongea, haikuwa na tija yoyoteMi hua nasema kama mwanaume : usitafute kupendwa na Mwanamke.
Tafuta kumpenda Mwanamke.
Ukipendwa angali haumkubali haitakua na tija yoyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sureumeongea point sana,natamani wakuelewe kama nilivokuelewa mimi,kuna dem alikuwa ananipenda halafu mimi sikumpenda, akipiga cm nafikiria atamaliza saa ngapi kuongea, haikuwa na tija yoyote
Sasa hii ndiyo dalili ya mwanamke anayekupenda.
Sasa hii ndiyo dalili ya mwanamke anayekupenda.
Nakupenda pia.