Nafasi za kazi NBS

Nafasi za kazi NBS

Kwani lazima wote muombee Dar, wengine muende hata Simiyu

Ndiyo hivyo, vijana siyo wabunifu kabisa. Tena mikoani huko watapata nafasi bila ushindani wowote.

Lakini kwa sababu, akili za vijana wengi ni kama maziwa mgando ambayo hayatikisiki wote watang'ang'ania ofisi za Dar na kuachia nafasi mikoani
 
Nenda ilipokuwa makao makuu ya NBS posta oposite na NBC bank
Acha kudanganya wenzio makao makuu yapo kibukoni ukivuka wizara ya mambo ya nje jengo linalofuata ndio makao makuu
 
Acha kudanganya wenzio makao makuu yapo kibukoni ukivuka wizara ya mambo ya nje jengo linalofuata ndio makao makuu

Utakuwa unaifahamu ofisi ya hivi.juzi.
Tambua kuwa HQ sasa imejengwa dodoma soon wataenda huko.

Na nikisema opposite na NBC unatakiwa ujiongeze.

Kama unahitaji kuelewa uandishi wangu hebu soma comment yangu namba #2 utaelewa.
 
Jamani mikoaa ambayoo inafanyiwaa udadisi huoo ni ipi orodheshen maana natafuta siioni so kila mkoaaa unafanyiwaa hii kitu [HASHTAG]#ufafanuzi[/HASHTAG] please

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii
Jamani mikoaa ambayoo inafanyiwaa udadisi huoo ni ipi orodheshen maana natafuta siioni so kila mkoaaa unafanyiwaa hii kitu [HASHTAG]#ufafanuzi[/HASHTAG] please

Sent using Jamii Forums mobile app
Inafanyika Tanzania nzima kwa miezi 12,ndio maana unaambiwa uombe kwenye mkoa ambao wewe unatoka,kwakuwa wanajua kwa malipo wanayotoa ukienda mkoa ambao sio orign yako na Huna malazi kwa muda huo hutoweza kusurvive
 
Utakuwa unaifahamu ofisi ya hivi.juzi.
Tambua kuwa HQ sasa imejengwa dodoma soon wataenda huko.

Na nikisema opposite na NBC unatakiwa ujiongeze.

Kama unahitaji kuelewa uandishi wangu hebu soma comment yangu namba #2 utaelewa.
Ile ofisi yao hawajawahi kuhama,makao makuu yapo palepale,branchi nyingine ipo mkwepu na ya mkoa wa dsm ipo kwa mkuu wa mkoa, unaposema wamehama hivi juzi juzi sikuelewi
 
Kama ujasoma Course yao ya miezi miwili katika chuo chao kilichoko changanyiken Usijisumbuwe kuomba
 
Kama ujasoma Course yao ya miezi miwili katika chuo chao kilichoko changanyiken Usijisumbuwe kuomba
Acha uongo mkuu, mm nimefanya hapo kazi kwa muda (temporary) nikiwa bado nasoma tu chuo wanalipa vzur sana na sikusoma iyo course ya hapo changanyikeni cha msingi connection tu mzee, hapa mjini km humjui mtu bora ukalime tu
 
Anachokisema mkuu hapo ni kweli, hao jamaa kama hujasoma course yao hupati! Labda wawe wamebadilika kwenye awamu hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom