NITATOA USHUHUDA
JF-Expert Member
- Jul 6, 2017
- 757
- 728
MKUU,HUYU NI MKE WA BROwewe ndio huyo mrembo?
MKUU,HUYU NI MKE WA BROwewe ndio huyo mrembo?
Poa mkuuMKUU,HUYU NI MKE WA BRO
Bongo ni wapi?We mshamba kweli
Ndar ndyo bongo?
Itakuwa ndyo umefika mara ya kwanza hiv sasa. Na umetokea ushangoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulivyoongea tu inadhihirisha si MTU wa dar sema unatamani ungekuwa wa Darwatu weng wa mikoani huona dar km ulaya, nlipokuwa a level kanda ya ziwa kila mwanafunzi alikuwa anapenda jinsi nlikuwa naongea walikuwa wanasema "ninaongea haraka haraka" wakat mm pia nliwaona siwaelew vizur, kiufup walinikubali sana sana na walikuwa wakiniita MBONGO,in short wanapakubali sana dar
ww kweli kipochi, kwa taarifa tu babu yang kaja mjini 1954, baba yang tu hafahamu ata lugha ya kwao tu, mdgo wang hizo zilikuwa hustle za skuli mkoani ndo maana nkaandika ivo, ila mm mjn ktambo ,tumegonga sana makonda mjini fire hapo enzi sa skuliUlivyoongea tu inadhihirisha si MTU wa dar sema unatamani ungekuwa wa Dar
Delta Force
mkuu upo moshi mitaa gani..... ?Moshi
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
moshi mjini
Mabasi yote ya mikoani uelekeo ni DarWatu wa mkoani mnapaona bongo kama ulaya eeh
Mi bado hata sijawahi fika dar,sihusikiWa mikoani mkuje huku mnaitwa