Recent content by Mtemikwila

  1. Mtemikwila

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mhindi hua akiona mkeka wangu wa jero hua anaanza kulia,sijawahi muacha salama last night tu nimemdungua 1M kwa jero
  2. Mtemikwila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Manukato/perfume yasababisha niachwe na mwanamke aliyenipenda

    Wavulana mna shida sana, mwanaume hata akutwe kifuani akipewa nafasi ya kushuka tu basi ujue aliekua kifuani sio yeye. Sasa wavurana issue ndogo unakuja kulialia hapa
  3. Mtemikwila

    JamiiForums Tanzania CCM wanawekana sawa kwa kuparurana, ninyi je mnajipangaje?

    Sijawahi teteleka wala kulialia nipo imara muda wote sababu sijawahi mtegemea mwana siasa
  4. Mtemikwila

    JamiiForums Tanzania CCM wanawekana sawa kwa kuparurana, ninyi je mnajipangaje?

    Afu wewe binafsi ukiwa umenufaika vipi?
  5. Mtemikwila

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Bungeni ni wale wa mbeleko VS wabeba mbeleko

    It will never happen in Africa especially Tanzania, muda ni hakimu mzuri.
  6. Mtemikwila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyie mlioolewa muwe na msimamo na ndoa zenu mtakuja kusabisha mauaji hivi hivi

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] wee piga tu picha hapo nchi jirani
  7. Mtemikwila

    JamiiForums Tanzania Dogo anataka kuacha kazi serikalini aende private

    Kuna kaukweli hapa
  8. Mtemikwila

    JamiiForums Tanzania Dogo anataka kuacha kazi serikalini aende private

    Hahahaha wanakuaga na kaujinga furani
  9. Mtemikwila

    JamiiForums Tanzania Dogo anataka kuacha kazi serikalini aende private

    Kwa hiyo unataka dogo aishi Kwa kusubilia kiinua mgongo au? Watu wengi wanaofanikiwa hua ni risk takers kinyama. Watu waoga huishia kuwa wachawi na fitina.
  10. Mtemikwila

    JamiiForums Tanzania Dogo anataka kuacha kazi serikalini aende private

    Sasa kama umesha mshauri asiache huu uzi umeuleta huku ili iweje sasa? Afu kwa nn mshikie akili mdogo ako?
  11. Mtemikwila

    JamiiForums Tanzania Kama hujawahi kutaja neno "mkuu" hapa JF njoo uchukue million

    [emoji38][emoji38][emoji38][emoji848] naona umepishana nayo mkuu
  12. Mtemikwila

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

    [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] duh!!
  13. Mtemikwila

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Lissu baada ya Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kutangazwa

    Wakati tumbo la hedhi tu likikushika unahaha kama nn, sembuse ukutane na kirungu cha ugoko au goti..ingia aisee kitaa tupo
Back
Top Bottom