Dogo anataka kuacha kazi serikalini aende private

Watanzania ni watu waoga Sana aiseeh sio risk takers kabisa.

Mimi nimeacha kazi mwaka wa tatu Sasa sikumuuliza mtu hata neno moja. Nilijifanyia self assessment nikaona Kuna calculated risks nikaruka.

Watanzania tunashindwa kuvunja na kwenda beyond our limits tunaishia kuishi kwa kukwazika.

Binadam lazima uwe risk taker wa kimaslahi.
Maisha sio mashindano...kila mtu na mipango yake

nani alikuambia wanaofanya kazi serikalini wanaishi kwa kukwazika?.

mtu kuwa na ajira na miradi nje ya ajira unaona hilo ni dogo?.
 
Daah sasa akiacha kazi serikalini akaenda kufanya kazi huko Private mkataba ukiisha Vipi ikitokea tena nafasi serikali anaweza kupata???? Mil 60 kwa mwaka ni nyingi lakini 1.2 kwa miaka mpaka unastaafu na kupata Kiinua mgongo ni nyingi zaidi...!! Tatizo hiyo private still ni probability vile mzee baba anakazaa mambo duuh shida sanaa
 
Mdogo wangu awali alifanya kazi private kwenye mradi mmoja lakini baada ya ule mradi kuisha bahati nzuri akapata kazi serikalini.

Sasa wale waajiri wake wa awali wamemuita tena kwenye mradi mwingine.

Government analipwa around Tsh1.2m gross salary ambayo ni ajira ya kudumu.Private atalipwa kati ya Tsh4.5m - 6m per month ila ni mkataba wa mwaka renewable kama akiperfom vizuri.

Anaomba ushauri je aache kazi serikalini aende private?
Hapo ni hesabu mkuu,chukulia atapata gross ya 5m huko private, maana yake atakuwa ana gross ya mil 60 (Net ya 40 milion) kwa mwaka,na NSSF ya 6milio×2 kwa mwaka. ambayo ni sawa na zaidi ya miaka minne kwa ajira ya serikalini.

Chukulia mkataba hautakuwa renewed,so stroy zote za ajira zitaishia hapo hapo,ataanza shughuli binafsi. chukulia mkataba utaendelezwa basi ndani ya miaka mitatu itakuwa inatosha kumjengea msingi.
(Tuna asume jamaa ana financial descipline)
 
Likizo bila malipo kwani lengo lake ni nini?Mwambie asome vizuri taratibu za utumishi wa umma.
 
Mdogo wangu awali alifanya kazi private kwenye mradi mmoja lakini baada ya ule mradi kuisha bahati nzuri akapata kazi serikalini.

Sasa wale waajiri wake wa awali wamemuita tena kwenye mradi mwingine.

Government analipwa around Tsh1.2m gross salary ambayo ni ajira ya kudumu.Private atalipwa kati ya Tsh4.5m - 6m per month ila ni mkataba wa mwaka renewable kama akiperfom vizuri.

Anaomba ushauri je aache kazi serikalini aende private?
Mwambie aende serikalini aniachie hiyo kazi ya private....naomba contacts zake tafadhali.
 
Nilichogundua Watanzania walio wengi ni waoga sana. Serikalini analipwa 1.2 ambao kwa mwaka ni 12,000,000 wakati huko private analipwa 6M kwa mwezi kwa mwaka ni 60,000,000 nikipiga mahesabu yangu ya haraka haraka hiyo 60M - 20M ya matumizi inabaki 40M hapo nina uwezo wa kufungua biashara itakayozalisha kwa mwezi si chini 1.5 M nitatumia kama 15M only. 20M nafungua biashara nyingine ambayo itaingiza faida kwa mwezi si chini ya 1.5M
Na hapo ndo naamini kwenye miti hakuna wajenzi
Biashara gani inaweza kuingiza faida 1.5 m faida kwa mwezi,naomba mifano 2.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ni hesabu mkuu,chukulia atapata gross ya 5m huko private, maana yake atakuwa ana gross ya mil 60 (Net ya 40 milion) kwa mwaka,na NSSF ya 6milio×2 kwa mwaka. ambayo ni sawa na zaidi ya miaka minne kwa ajira ya serikalini.

Chukulia mkataba hautakuwa renewed,so stroy zote za ajira zitaishia hapo hapo,ataanza shughuli binafsi. chukulia mkataba utaendelezwa basi ndani ya miaka mitatu itakuwa inatosha kumjengea msingi.
(Tuna asume jamaa ana financial descipline)
ah ah nani kakwambia mshahara hua unatosha..unaongelea 5 million gross utadhani hamna makato ya kutosha hapo NSSF,PAYE ect hachelewi baki na 3.5 labda..na unajua kwa sasa tu na ela yake anweza chukua mkopo hadi million 80 kwa ujenzi wa nyumba kwenye baadhi ya mabank
 
Nimemshauri asiache kwa sababu waafrika hatuna nidhamu ya fedha ni bora aendelee kubaki serikalini. Maana anaweza akawa anatumia hela vibaya mpaka mkataba ukaisha na asifanye chochote then wasirenew mkataba.
Sasa kama umesha mshauri asiache huu uzi umeuleta huku ili iweje sasa? Afu kwa nn mshikie akili mdogo ako?
 
Sikiliza mkuu nyuzi zinabwagwa humu si kwa ajili ya mtu mmoja wengi hupata mafunzo humu.

Miaka kumi mbele hii mada itaendelea kuishi watu watakuja kujifunza kumbe unaweza kuacha kazi na matokeo yake ndio haya.

Unaweza ukagoogle jinsi ya kuacha kazi serikalini ukashangaa Google inasuggest mada kama hizi usome.

Kwa hiyo unataka dogo aishi Kwa kusubilia kiinua mgongo au? Watu wengi wanaofanikiwa hua ni risk takers kinyama. Watu waoga huishia kuwa wachawi na fitina.
 
Hapana anaweza akaomba kuhama na kuhamia taasisi zenye mshahara unaokaribia hiyo 4.5-6m.Kuna taasisi nyingi zinalipa vizuri sana inaweza isifike 4m ila 2.5m ukijumlisha security ya kazi na mikopo yupo pazuri.
Kwa hiyo unataka dogo aishi Kwa kusubilia kiinua mgongo au? Watu wengi wanaofanikiwa hua ni risk takers kinyama. Watu waoga huishia kuwa wachawi na fitina.
 
Nilichogundua Watanzania walio wengi ni waoga sana. Serikalini analipwa 1.2 ambao kwa mwaka ni 12,000,000 wakati huko private analipwa 6M kwa mwezi kwa mwaka ni 60,000,000 nikipiga mahesabu yangu ya haraka haraka hiyo 60M - 20M ya matumizi inabaki 40M hapo nina uwezo wa kufungua biashara itakayozalisha kwa mwezi si chini 1.5 M nitatumia kama 15M only. 20M nafungua biashara nyingine ambayo itaingiza faida kwa mwezi si chini ya 1.5M
Na hapo ndo naamini kwenye miti hakuna wajenzi

Unajichanganya mwenyewe yani mpaka mwaka anaweza akawa na hiyo 40 milioni, umeongea as if anapewa yote milion 60 kwamba anatenga 20 ya matumizi inayobaki 40m aweke kwenye uwekezaji, unajua kuongea ni rahisi sana, yeye analipwa kwa mwezi mzee, na pia tumeona awamu hii kampuni nyingi zinavyofungwa sababu ya kodi je unadhani hiyo kampuni mara ghafla ikafungwa tena ataenda wapi, sio uwoga ila Watanzania wengine tuna akili zaidi ya wewe ulivyowaza, ni vyema uwe mwangalifu kuliko tamaa
 
Back
Top Bottom