CCM wanawekana sawa kwa kuparurana, ninyi je mnajipangaje?

Masikini Dr Bashiru hakika analipwa kwa madhambi aliyo yafanya dhidi ya watanzania kwenye uchaguzi.

Kweli Mungu yupo siku zote na huwa analipa cash kwa muovu.
Bashiru leo hii u Dr wake unahojiwa na kibajaj?
Waliovuruga uchaguzi wote Mungu atawaaibisha
 
Tuliomba Sana na kufunga Ili Mungu awaaaibishe wale wote watakaovuruga uchaguzi mkuu 2020 Mungu kasikia kilio chetu hakika ametenda , bashiru, polepole si kitu si lolote tena juu ya uso wa nchi na hawana tena ushawishi tena.
Afu wewe binafsi ukiwa umenufaika vipi?
 
Mfano hili suala la akina Mzee Mdee, wanaendelea kuingia bungeni kwa kutumia jina la CDM na kukichafua chama, ni usaliti na dharau za mchana kweupe! Lakini viongozi Wa CDM wapo kimyaa, Wao busy kupambana na mtu aliyekufa. Sometimes mtu unajiuliza Hawa wapinzani tz wapo serious kweli?
Kwa hiyo umeanza kutupangia!
 
Back
Top Bottom