Ushauri wangu kwa Lissu baada ya Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kutangazwa

Nadhani ni mda wa kutumia vyombo vya nje inabidi tuichafue tanzania haswa tuwekewe vikwazo kama zimbabwe na nchi nyingine si tuna uwezo wa kujitegemea, afu naomba huyu mtu aongeze kodi mara dufu tuone hawa watanzia watalia lia kona zipi, mpaka hela za kununua ARVs zikosekane

Hela za kununua Arv zikikosekana ama vikwazo. Watakufa maskini. Magu yeye na ndugu zake hawatakosa hela.
 
Wanahamasisha watu muandamane, wakipigwa wanaugulia nyumbani, wanashindwa kutafuta kipato chao wakati wao wataenda kutibiwa uko Ubelgiji kwa sponsor wao Amsterdam.

Mambo mengine ni kuwa mpole tu.. kama imekukera kubaliana na hali halisi halafu adapt tu hakuna namna..
 
Lisu alitoa tamko la maandamano siku anafungua kampeni, muda wote akikuwa anatoa tamko la watu kuandamana hata ilani hakusoma,

Kila alikopita alikuwa anataoa tamko la maandamano.

Juzi wakati anafunga kampeni katoa tamko la kutaka muandamane,

Hivi mnataka atoe tamko gani tena?

Alafu mleta mada nlikuonya humu kwamba kuanzia tarehe ya leo 29 tutakimbiana humu jukwani, unaona sasa unavyokoment kwa kuvizia?

Aliyemuharibia Lisu ni Amsterdam, kila siku anatoa barua kuwatisha nec na vyombo vya usalama vya tz,
Sasa kwa wenye akili wakajua hapa hatuna mgombea ila tuna kibaraka tu. Amsterdam kamounguzia Lisu kura nyingi sana.

Haya na huyo kigogo wako si ulisema atahack nec na kuanza kumtangza Lisu? Umeona sasa yeye mwenyewe kashikwa na aibu sasa hivi kawageuza eti musain sijui takataka gani muende Icc? Hivi nyie na huyo kigogo wenu mlifikiri tz ni kama kikundi cha chadema? Kwamba unaweza kuiingilia tu utakavyo?

Eti ccm itajua haijuiumeona sasa dozi mnayopewa?
 
Nadhani ni mda wa kutumia vyombo vya nje inabidi tuichafue tanzania haswa tuwekewe vikwazo kama zimbabwe na nchi nyingine si tuna uwezo wa kujitegemea, afu naomba huyu mtu aongeze kodi mara dufu tuone hawa watanzia watalia lia kona zipi, mpaka hela za kununua ARVs zikosekane
Acha roho mbaya kisa mahaba yako ya kijinga kwa mabeberu. Tanzania sio ya Chadema wala CCM pekee ni ya Watanzania. Huwezi kuichafua nchi ya watu almost 60 mil kisa mtu mmoja. Tanzania kwanza

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Balozi Kamilius.
Huyu mwamba ushiriki wake kwenye huu mchakato umenifanya nimshushe hadhi sana!!

20201029_151257.jpg
 
Tunasubiri tamko mimi mwanamke ila nitakuwa mstari wa mbele kabisa sipendi kuona manyanyaso kwa kweli
Wakati tumbo la hedhi tu likikushika unahaha kama nn, sembuse ukutane na kirungu cha ugoko au goti..ingia aisee kitaa tupo
 
nipo Arusha watu wameingia kwenye shughuli zao za kusaka kipato
Raha ya watu wanaojitambua na wenye majukumu hua wahawezi kuandamana kwa ajili ya tumbo la mwanasiasa, binafsi ht lissu angekuwa anaongoza kwenye matokeo na magufuli akatutaka tuandamane siwezi kufanya upumbavu huo.

Arusha tuchape kazi
 
Uchaguzi na mahakama, kwa CCM havina maana yoyote. Ni lazima kuja na mbinu mbadala.

Na ukisema ufuate sheria, na sawa na jambazi akumbie ufuate taratibu aluzokuwekea ili umdhibiti. Ni lazima kwenda kinyume na tofauti kabisa na yale aliyekupangia.

Ukienda mahakamani utakutana na makada maharamia wa CCM, siyo majaji wala mahakimu

Ukienda NEC utakutana na makada maharamia wa CCM, siyo watendaji wa Tume huru

Ukienda kwenye misikiti mingi na makanisa mengi, utakutana na makada maharamia wa CCM na siyo viongozi wa dini

Ukienda Polsi, TSS, JTZ na Magreza, maafisa wakubwa utakaokutana ni maharamia wa CCM, na siyo walinzi wa Taifa

Ukienda hayo maeneo au kutegemea maeneo hayo unapoteza muda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangazeni, tarehe ya kufanya haya na muanze kweli. Hata mkianza 2 nawaambia kadri ya muda utakavyokuwa unaenda mtaona watu wanazidi kuongezeka.
Wakitangaza tarehe tu, watakamatwa wote siku moja kabla na kutupwa lupango

Watanzania tunajijua wenyewe. Tupo vizuri kwenye kuandika mitandaoni. Movements nyingi sana zimeshazimwa kabla hata hazijaanza baada ya polisi kupiga biti kidogo tu. UKUTA, Mange’s led movement etc etc
 
Nadhani ni mda wa kutumia vyombo vya nje inabidi tuichafue tanzania haswa tuwekewe vikwazo kama zimbabwe na nchi nyingine si tuna uwezo wa kujitegemea, afu naomba huyu mtu aongeze kodi mara dufu tuone hawa watanzia watalia lia kona zipi, mpaka hela za kununua ARVs zikosekane
Na wana ccm wengi ndo wanaongoza kwa ufukara.hakika Kodi ikiongezwa watakufa Wa kwanza.
 
Mie nasubiri ushauri wangu ufanyiwe kazi. Ukishafanyiwa kazi ndo mtaona kama watanzania tuko tayari au la.
Nilikwambia WEWE hapo mara nyingi sana humu kuwa Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ukanibishia. Ingia barabarani Sasa, Lissu kashatoa tamko mchana huu na video ipo YouTube naye anawasubiri nyie mlianzishe maana ndo mliotemewa mate usoni na tume ya uchaguzi kwa maelezo yake.

Sasa na wewe unamsubiria yeye alianzishe. Ninachojua watu hawana time, atajikuta yeye tu barabarani. Sisi tunawajua watanzania vizuri na tunaijua CCM vizuri mpaka kuwaambia vile na nyie mkashupaza shingo eti NI YEYE. Nyambaf.
 
Wakitangaza tarehe tu, watakamatwa wote siku moja kabla na kutupwa lupango

Watanzania tunajijua wenyewe. Tupo vizuri kwenye kuandika mitandaoni. Movements nyingi sana zimeshazimwa kabla hata hazijaanza baada ya polisi kupiga biti kidogo tu. UKUTA, Mange’s led movement etc etc
Bora wafanye hivyo. Hakuna shida. Bora ufanye ushindwe kuliko kutofanya. Hii CCM sio ya kuitoa kwa majadiliano. Uhuni waliofanya kwenye uchaguzi huu haukubaliki duniani na mbinguni.
 
Akiongoza maandamano ya amani lazima tutakuwa nyuma yake. Jumuiya ya kimataifa imeshaona hii nchi ni gangsta republic. Kama hadi no za UN wanatumia kufanya udhalimu najua haitatuacha tuangamie. Lissu aanze tu sie Tupo tayari. Maalim Seif kaonesha kwa mfano pamoja na kuumwa kisukari, Lissu nae aanze aone tulivo wengi nyuma yake.

Mbelgiji watoto wake wako Belgium na anatiketi ndani ya begi lake bado unajiona mwenye busara kusikiliza mtu kama huyo.
 
WIZI WIZI WIZI NI WIZI MAGUFULI HATAKI UCHAGUZI MFANO JIMBO LA NYALANDU KURA ZA UBUNGE ZILIANZA KUPIGWA TANGU TAREHE 23 OKTOBA NA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI WA JIMBO ALIKUA AKIRATIBU SHUGHULI HIYO HARAMU

NA BADO WAPIGA KURA WAKAWA WANAPEWA KARATASI MBILI MBILI

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom