Dogo anataka kuacha kazi serikalini aende private

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
369
500
Watanzania ni watu waoga Sana aiseeh sio risk takers kabisa.


Mimi nimeacha kazi mwaka wa tatu Sasa sikumuuliza mtu hata neno moja. Nilijifanyia self assessment nikaona Kuna calculated risks nikaruka.

Watanzania tunashindwa kuvunja na kwenda beyond our limits tunaishia kuishi kwa kukwazika.


Binadam lazima uwe risk taker wa kimaslahi.
Bro Watanzania tunatafuta sanaa security ila tunasahau Financial freedom.

#YNWA
 

Danp36

JF-Expert Member
Jul 31, 2010
1,853
1,500
Mi nimeanzisha biashara kwa hela ya mkopo tena ya kilimo.

#YNWA
Ulikiwa na uzoefu au bahati ,ndio maaana nimesema biashara za mali mbichi na kilimo sometimes uzoefu na kucheza na msimu ni kama kamali ,usipo jua game unapotea.

Tatizo huna uzoef alaf unaingiz mkopo hukoo..
 

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
369
500
Ulikiwa na uzoefu au bahati ,ndio maaana nimesema biashara za mali mbichi na kilimo sometimes uzoefu na kucheza na msimu ni kama kamali ,usipo jua game unapotea.

Tatizo huna uzoef alaf unaingiz mkopo hukoo..
Hakuna bahati kwenye maisha.
Hiyo huitwa fursa iliyokutana na maandalizi ila SIO BAHATI.
Tumeumbwa sawa mbele ya macho ya Mungu.

#YNWA
 

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
369
500
Hivi likizo ya bila malipo serikalini unaweza kwenda hata mwaka? Inategemea sababu mzee sio kirahisi hivyo
Yap unaenda ila mwisho ni miaka 3.
Zaidi ya miaka 3 ukirudi watacheki kama nafasi ipo unarudishwa kama hakuna ni bye byeee..!!!

#YNWA
 

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
369
500
Hil
Hili watu huwa wanali overlook sana. Kuwa meneja mzuri wa mradi ni karama toka kwa mungu. Sio kila mtu anaweza thus why wengine tunaishia kuitwa waoga.
Nop usimsingizie Mungu wa watu..!!
Kuna....
Vitabu
Internet
Field Survey
Mentors
Seminars

Nini tena upewe?
Aquire knowledge and use it.

#YNWA
 

Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
7,778
2,000
Mdogo wangu awali alifanya kazi private kwenye mradi mmoja lakini baada ya ule mradi kuisha bahati nzuri akapata kazi serikalini.

Sasa wale waajiri wake wa awali wamemuita tena kwenye mradi mwingine.

Government analipwa around Tsh1.2m gross salary ambayo ni ajira ya kudumu.Private atalipwa kati ya Tsh4.5m - 6m per month ila ni mkataba wa mwaka renewable kama akiperfom vizuri.

Anaomba ushauri je aache kazi serikalini aende private?
Aombe likizo bila malipo, akieleza ana matatizo binafsi yatakayotatuliwa yeye katika kipindi fulani lets say 1 year.
 

LadyRed

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
9,345
2,000
Acha kufikiria job security
Tafuta FINANCIAL FREEDOM.
Ili kunielewa tafuta vitabu vya ROBERT KOYASAKI.

#YNWA
Heheh tangu mumjue Kiyosaki ukubwani mnahaha sana

nimemsoma Kisoyaki nikiwa Sekondari mkuu na habari zake nyingi zikiwemo quadrants n stuff, ni muhimu hamna anaekataa

financial freedom is important ila lazima ujijue wewe ni nani na unaishi maisha gani na kati ya options mbili uchague kipi

hapa umeombwa ushauri wa kuchagua kati ya ajira mbilI na sio kujiajiri!

kujiajiri si kila mtu anaweza...jitambue kama unaweza ndo uende huko
 

charldzosias

JF-Expert Member
Nov 10, 2013
1,935
2,000
Huyo jamaa amenichekesha sana jinsi alivyorahisisha yaani kazi ya serikalini amechukulia kama kwenye kibanda cha kuuza chipsi unaamua tu kuwa kesho hauji unamleta rafiki yako akufanyie kazi
Anahisi Ofisi ni ya Shangazi yake.. hahah.. amenifurahisha.. so far nime gain kitu wakat wa Interview hapa ofisini ntaweka hii Scenario alaf Nione wapayukaji watakavyo jibu 😂
 

pujo

JF-Expert Member
Jun 19, 2019
2,194
2,000
Nilichogundua Watanzania walio wengi ni waoga sana. Serikalini analipwa 1.2 ambao kwa mwaka ni 12,000,000 wakati huko private analipwa 6M kwa mwezi kwa mwaka ni 60,000,000 nikipiga mahesabu yangu ya haraka haraka hiyo 60M - 20M ya matumizi inabaki 40M hapo nina uwezo wa kufungua biashara itakayozalisha kwa mwezi si chini 1.5 M nitatumia kama 15M only. 20M nafungua biashara nyingine ambayo itaingiza faida kwa mwezi si chini ya 1.5M
Na hapo ndo naamini kwenye miti hakuna wajenzi
Kuongea ni rahisi kweli
 

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
369
500
Heheh tangu mumjue Kiyosaki ukubwani mnahaha sana

nimemsoma Kisoyaki nikiwa Sekondari mkuu na habari zake nyingi zikiwemo quadrants n stuff, ni muhimu hamna anaekataa

financial freedom is important ila lazima ujijue wewe ni nani na unaishi maisha gani na kati ya options mbili uchague kipi

hapa umeombwa ushauri wa kuchagua kati ya ajira mbilI na sio kujiajiri!

kujiajiri si kila mtu anaweza...jitambue kama unaweza ndo uende huko

""Heheh tangu mumjue Kiyosaki ukubwani mnahaha sana""

What the **** was THIS?

Huwezi kutoa hoja bila kuwa na personal attack.

We ulisikia wapi nimjua ukubwani kama nimemjua tokea nazaliwa?

Kama huna hoja usiwe una attack mtu toa point.

Ungesema umesoma nisingeelewa hilo la kudharau wengine limetoka wapi?

#FUCK_OFF.

#YNWA
 

Da Lu

JF-Expert Member
Jul 18, 2016
962
1,000
Kuongea ni rahisi kweli
Ukiona naongea ujue nakifahamu na nina experience nacho kabla sijakifanya nilikutana na watu wa aina yako. Watu wanaokata tamaa mapema kabla hawajafanya kitu
 
Apr 12, 2015
32
95
Hongera mkuu....biashara ilivyongumu sio unatamka tu eti milioni 20 naiingiza kwenye biashara kwa mwezi naingiza 1.5m....sio rahisi kama kuandika.
Hhaaha,anyway mkuu,siwezi bisha sana aisee najua biashara ni ngumu ila inategemeana mkuu,mimi kwa 20M katika mazingira niliyoko uhakika wa kutengeneza 5M upo kabisa kutegemeana na unachofanya tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom