Recent content by mtelewa

  1. mtelewa

    Mzungu apiga risasi watu 9 Kanisani Marekani

    Barbarosa akili zako bado changa sana. Hopeless.
  2. mtelewa

    Sababu za kuporomoka kwa sarafu ya Tanzania dhidi ya fedha za kigeni hizi hapa

    Mtoa mada kajiatahid sana kudadavua. Japo ni kwel dollar imepanda globally. Imported inflation ni janga baya sana. Tutaanza kukimbiana kwny manunuzi aseee.
  3. mtelewa

    Unataka mwanamke/msichana akupende fanya haya

    Sina cha kuongeza hapo,vimekamilika hivyo. Changamoto,ni vigumu kumpa mwanamke muda na hela kw wakat mmoj. Mara nying mweny hela ndo yuko bzy kuzisaka,hapo vidume kaz tunayo. Watu weng sana wenye mida hawana hela,coz hawana kaz za kuwa keep bzy.
  4. mtelewa

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Mwendo mdundo wadau. Baada ya kipindi fulan tuanze kusikia shuhuda mbalimbali kutokana na mijadala yetu hii.
  5. mtelewa

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Hata kipindi ch kina newton,frankwood,archimedes,keyness,plato na wengineo,WAPUUZ walikuwepo pia.
  6. mtelewa

    Wema Sepetu: Ninammiss sana Diamond, sema IQ yake ndogo

    Hapa kuna ttzo kwetu sie wana jf. Kwann wanaonekana kumshambulia wema kw maneno aliyosema? Ni wivu,visasi au iq za baadhi yetu n shida.
  7. mtelewa

    The power of forgiveness (umuhimu wa kusamehe)

    Mkuu sidhan km mleta mada alimaanisha mambo y kijinai. Naamin ameangalia mamb yetu y kawaida binadama yatokeayo ktk jamii zetu. Maelezo yako yamekaa kimahakama zaid,na hilo hata kidini linatambulika. Jiangalie wew na binadamu wenzio,usi-focus kwny mamb y kiserikali.
  8. mtelewa

    Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

    we nawe mkongwe humu,ila hujaelewa kilio ch huyu mtu vizuri. Huo u-biological father sio kesi na wala sio kilio cha mhusika. Soma vzr ndgu.
  9. mtelewa

    Kuanzia leo hii sitaki ubishano wa Ronaldo na Messi nani mkali

    Kuna kitu hamjaki note,messi amegeuka mchezeshaj sana kwa sabab amepelekwa pemben alikokuw anacheza awal,hivyo hajaacha uchoyo ila nafac ndo inamkaba. Guardiola alikuw anampang ktkt ndo mana haikuw rahis kuchezesha wengn zaid y kufunga. Ukicheza sana pmbn utaishia kuwachezesha wengn zaid.
  10. mtelewa

    Kuanzia leo hii sitaki ubishano wa Ronaldo na Messi nani mkali

    kwan nan asiyelenga ushindi wa timu?Msijifanye hamjui,messi kaanz kubadilik msim huu,km uchoyo wote tabia hiyo wanayo kutokana na mchuano wa uchezaj bora. Pil mfum w madrid na barca n tofaut sana. Tuwe makin jaman
  11. mtelewa

    Kuanzia leo hii sitaki ubishano wa Ronaldo na Messi nani mkali

    oya angalia maneno ya kuongea.styl zko z kuongea kishabiki hazina mashiko ktk uzi huu. Huwez sema CR haingii hata robo kw messi,hayo n majivu. Sio lzm uongee.
  12. mtelewa

    Jitahidi mwanao asisome masomo ya Sanaa

    Hii ni dunia ya habari(information age),sio dunia ya viwanda(industrial age). Hivyo kumsomesha mtot kw target y ajira ni makosa makubwa sana. Mtoa mada na wengineo weny fikra km zako,waandaen wenenu kusimama wenyew kw kuwapatia maarifa. Habar za ajira kipind hiki zinazid kufa,na zitapotea kw...
  13. mtelewa

    Ajali: Mabasi ya Ngorika na RATCO yamegongana uso kwa uso na kusababisha vifo

    Wadau someni vizur chanzo cha ajali. Najua watu w mabasi wako hovyo,ila chanzo cha ajali kizingatiwe. Binafsi nawajua sana ngorika(whatever the excellent),ila hapo maelezo yanaonyesha ngorika wamegongwa baad y bas jingine kupotez mwelekeo. Huyo mweny gar dogo ndo kasababisha yote hayo.
  14. mtelewa

    Utumiaji wa GNLD na Forever Living products ni hatari?

    mkuu nan kakwambia hawalipi kodi? Unaijua mifumo y ulipaj kodi? Na rushwa inakujaje hapa? Then jarib kulielezea hilo la uhalifu. Kwny kuhimiz watu umenena ila hapo juu umenipa wsws na uelewa wako w mambo. Nafas bdo unayo,endelea kujifunza,coz dunia iko waz sana.
Back
Top Bottom