Mzungu amepiga risasi Wamarekani weusi wenye asili ya Afrika wakiwa kanisani kwenye Ibada, sasa hapo udini unaweza kuepukika vipi? Unaweza kuniambia?
Waafrika dini yetu ni moja tu."Mungu" pekee yake,hatuna mwakilishi yeyote,kwani sisi sote ni watu wake na tuna uhuru wa kumuomba bila kumpitia nabii,mtume au mganga.Huu ni ubaguzi wa rangi.Ni kweli baadhi ya wazungu,na serikali zao,ni za kibaguzi,unyanyasaji na ubabe sana.Hata wakiwa hapa,bado baadhi yao ni wabaguzi.Wote hawa,wahindi,waarabu,wachina wote wana ugonjwa wa ubaguzi.Tuweni macho sana na misaada yao.