Recent content by Mtakayote

  1. Mtakayote

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, unaweza kumuomba mumeo amuoe rafiki yako

    Ung'ekuwa wewe ndio rafikiyake ung'ekubali uolewe na huyo mume wake? Be honest pls.
  2. Mtakayote

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye timamu unawezaje kusex na mwanaume mwenye mkono wa sweta

    Nimekumbuka mbal[emoji3][emoji3]
  3. Mtakayote

    JamiiForums Tanzania Star x

    Asante kwa ushauri
  4. Mtakayote

    JamiiForums Tanzania Star x

    Habari wana jamvi wa technolojia,.. Nampango wa kununua tv anina ya star x inch 43 smart ivi hizi tv zina tatizo kwa ambae ametumia? na je, hiyo smart ni kwenye ina support internet youtube na vingine km smart tv zingine.. naomba mnishauri.. Asanteni in advance.
  5. Mtakayote

    JamiiForums Tanzania Washindi wa Biko wananishangaza sana, wakipigiwa simu wanajieleza kila kitu bila kuhoji wanaongea na nani

    Mm naona japo hata kwa asilimia 0 siamini hii biashara ya bahati na sibu.. hawo wanaopata hizo hela tuone wamezitumiaje kimaendeleo na tuone mabadiliko.. wewe ushawahi ona nchi inaendeshwa kibahati nasibu? Jamani watanzania na wengine huko tusikubali sisi sio shamba la bibi, imagine tunaakili...
  6. Mtakayote

    JamiiForums Tanzania Washindi wa Biko wananishangaza sana, wakipigiwa simu wanajieleza kila kitu bila kuhoji wanaongea na nani

    Biko ni wezi tu,.. wezi tena wakubwa,.. nawashauri beti mpira sio biko wala tatu mzuka
  7. Mtakayote

    JamiiForums Tanzania Mwaka unaogawanyika na ambao haugawanyika

    Habari wana JF... Hope mpo poa, ambao mpo kazini poleni na kazi na kazi njema ambao mpo vijiweni namatakia mcha mwema.. Km heading hapo au mada hapo naomba kujua.. nini maana ya mwaka unaogawanyika mara mbili na mwaka usiogawanyika mara mbili? Na je kuna lile jambo la mwaka mgumu na mwaka...
  8. Mtakayote

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkomeshe Mwanaume anayehitaji Namba yako ya simu

    Njoo kwangu mm naanza na kutoa hela, km naweza nika beti game arsenal na chelsea, ni kampa ushindi arsenal kwa zaidi ya laki, nishindwa kwa mtu ambae hela kwanza ndio mazungumzo...
  9. Mtakayote

    JamiiForums Tanzania Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

    Nashukuru japo hivyo vitu sijui km ntaweza
  10. Mtakayote

    JamiiForums Tanzania Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

    Na sim hct1 m8 bado ipo version ya 5.1 android kila nikijaribu ku update , inaji update ila bado inakuwa ni 5.1 ile ile. Nifanyaje niweze ku upgrade kwenda 6 au 7?
  11. Mtakayote

    JamiiForums Tanzania Je Jaji Mkuu anaweza kukamatwa na Askari?

    Kwa mtazamo wangu... Jaji mkuu atakamatwa na polisi ila kwa amri ya raisi na sio mtu mwengine.. ata kama ata tenda kosa, kitakacho tokea ni raisi kumvua madaraka na kuwa km mm na ww yaani raia wa kawaida hapo ndio atahukumiwa ila sio akiwa km jaji mkuu.. lazima amri itoke kwa raisi .. ndio maana...
  12. Mtakayote

    JamiiForums Tanzania Basi la LIM Safari la Dar - Arusha, laungua na kuteketea

    Poleni jamani Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mtakayote

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wa Tanga punguzeni spidi, mtasababisha wanaume tuhamie huko wote!

    Dah kweli Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom