Je, unaweza kumuomba mumeo amuoe rafiki yako

Dah,,hadi raha sipati picha mke wangu ndio angenitunuku yule rafiki yake,Hakika wanawake wa kiafrika igeni mfano huo
 
Daaah. Kushirikiana huku unajua yataka moyo kwa kweli.

Ila nimpongeze huyo aliyemkaribisha mwenzie japo hapo ipo namna si bure. Sababu kwa hali hiyo hawashindwi hata kulala wote na mume wao kitanda kimoja na wakajionea sawia tu.
Umenikumbusha Shadeeya yupo jamaa mmoja mzigua wa mkata yeye ana wake watatu na hujisifu mwenyewe kua kwenye zamu lazima wawepo wake zake wawili kwenye kitanda kimoja, mmoja kulia mwingine kushoto yeye katikati, eti kila mmoja anakua na "jukumu" la kufanya. Sijui amelipata kwenye kitabu gani hilo au ni mila labda!
 
Daah! Umeona sasa na utakuta hao wanawake waliichukia hiyo tabia japo mwisho wa siku imebidi wazowee tu.
 
Mimi naweza

Sitaki povu wala mate akili yangu imeniambia naweza
 
Back
Top Bottom