Cyprian Musiba: Rais hataki miaka 7 ila sisi tunataka, Bunge lifanye mabadiliko ya Katiba

Mkurugenzi Mkuu wa CZ Information & Media Consultant LTD, Cyprian Majura Nyamagambile amesema kuwa Rais hataki kuongoza miaka saba lakini wao wanataka kwakuwa wana haki ya kutoa maoni yao kama wananchi.

Ameyasema hayo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amelitaka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufanya mabadiliko ya vipengele vya Katiba ili iweze kumuwezesha rais kutawala kwa muda wa miaka saba.

“Rais Dkt. Magufuli alishasema hataki miaka saba. hata juzi karudia tena kwamba hataki lakini sisi tunataka miaka saba, na tunaliomba bunge libadili Katiba,”amesema Nyamagambile

Hata hivyo, ameongeza kuwa Rais Magufuli ni wa mfano wa kuigwa Afrika kwa yale anayoyafanya kwani wengi wameshindwa lakini yeye ameweza.

Huyu jamaa sasa hivi anatafuta umaarufu ambao hastahili,ameanza na kumshtaki Lissu sasa amehamia kwenye kuongeza muda wa miaka saba ya kutawala.
 
Kung'ang'aniza kitu kisichokuwepo kwenye katiba ni sawa na kufanya mapenzi kinyume na maumbile. . Musiba nadhani ana ATM kwenye masaburi yake anataka Watu wamuingizie Card kwenye ATM yake. Mwambieni atumie ubinafsi wake sio neno "SISI" tunataka aseme yeye ndio anataka Au yeye na bwana wake mkamia.
 
Mkurugenzi Mkuu wa CZ Information & Media Consultant LTD, Cyprian Majura Nyamagambile amesema kuwa Rais hataki kuongoza miaka saba lakini wao wanataka kwakuwa wana haki ya kutoa maoni yao kama wananchi.

Ameyasema hayo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amelitaka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufanya mabadiliko ya vipengele vya Katiba ili iweze kumuwezesha rais kutawala kwa muda wa miaka saba.

“Rais Dkt. Magufuli alishasema hataki miaka saba. hata juzi karudia tena kwamba hataki lakini sisi tunataka miaka saba, na tunaliomba bunge libadili Katiba,”amesema Nyamagambile

Hata hivyo, ameongeza kuwa Rais Magufuli ni wa mfano wa kuigwa Afrika kwa yale anayoyafanya kwani wengi wameshindwa lakini yeye ameweza.

**** yako we
 
huyu jamaa kimbelembele siku hizi! sijui katokea wapi..anataka kiki kama hamorapaaa
 
Daa yan apa nilipo nalia tu wakuu majitu kama aya yanatofikiria kwa kutumia matako yanaachwa tu yaendelee kuleta uchochezi na media zinawamulika kabisa.
 
Watu wenye mawazo kama huyo Musiba, kuwajadili na kujadili habari zao ni kuwaongezea nguvu na umaarufu, habari kama hizi ndo zinapaswa kupuuzwa na kutojadiliwa kabisa na great thinker.
According to me
 
Back
Top Bottom