Mtakayote
Member
- Apr 1, 2016
- 62
- 16
Habari wana JF...
Hope mpo poa, ambao mpo kazini poleni na kazi na kazi njema ambao mpo vijiweni namatakia mcha mwema..
Km heading hapo au mada hapo naomba kujua.. nini maana ya mwaka unaogawanyika mara mbili na mwaka usiogawanyika mara mbili? Na je kuna lile jambo la mwaka mgumu na mwaka usiokuwa mgumu jee hili linausiano na mwaka unaogawanyika na mwaka usiogawanyika?... Wanajamvi mnisaidie... Asanteni in advance