Recent content by Mtaita2

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninunue aina gani ya Tv?

    LG ni TV nzuri sana.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Toyota Noah Voxy inauza .

    Usidanganye watu. Hilo gari haliwezi kuwa Toyota Noah Voxy kwa wakati mmoja. Ni Noah au ni Voxy basi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zijue nchi zenye waafrika wengi zaidi nje ya Afrika

    Sio waafrika mkuu. Ni watu weusi. Hao jamaa sio waafrika. Ndio manna huitwa kutokana na nchi wanazotoka. Kwa mfano Waamerika weusi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nauza mbwa wa kisasa wa ulinzi

    Weka namba ya simu mkuu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nauza mbwa wa kisasa wa ulinzi

    Weka namba ya simu mkuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mji wa Bukoba wakumbwa na msongamano wa watu kuliko kawaida

    Hapo ndio watu wataendeleza katerero kwa kwenda mbele
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Dar acheni tabia ya kunywa beer ndogo ndogo

    Wewe unamsahihisha mtu kiingereza wakati wewe mwenyewe kiswahili hujui kuandika: sio harafu ni halafu. Naona unatokea ile mikoa yenye shida ya r na l.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uibukaji wa biashara ya utumwa mamboleo nchini Libya, nani alaumiwe?

    Source tv, radio Internet vyote vinaelezea wazi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Weka namba ya simu nikutafute mkuu. Kwani uko maeneo gani
  10. M

    JamiiForums Tanzania bed cover,shuka,na mapazia ya mtumba

    Wewe pia bei ili kuvuta watu zaidi kwenye biashara yako. Watu hupenda kujua bei ili walinganishe na sehemu zingine
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume anae kupa elfu tano kwa kujinyima yeye, Ni bora zaidi kuliko mwanaume anaekupa million 1,Ili akupate tu

    Kwani anaekupa elfu tano nia yake sio kukupata
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Am shook: for Tanzanians who dont understand simple lingua

    What is Am shook. You are challenging other people while even yourself you are not clear Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wengine njaa ukimuomba pesa kidogo tu anakufungulia uzi

    Huu ni unyama lazima wanaume wote tuupige vita. Tusishabikie uovu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nauza vifaranga vya Samaki(fish fingerlings)

    Mkuu tumekupata Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nauza vifaranga vya Samaki(fish fingerlings)

    Basi poa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom