Ninunue aina gani ya Tv?

Ninunue aina gani ya Tv?

Hbr wana jamvi, nina bajeti ya Tsh 350,000/= Je ni Tv gani nzur ya kununua. ?
Mawazo nilionayo ninunue LG inch 24 au Star X inch 32.
Ushaur wa brand nyingne unaruhusiwa pia?
Asante.
Nunua Panasonic ya kichogo iko vizuri na hutojutia pesa yako na unaweza kupata kwa laki moja na ishirini tu pesa nyingine unaweza kuja nikakuuzia majeneza hata mawili maana akiba haiozi na hakuna aijuaye siku wala saa
 
unafikiri kila mtu ana kipato kama chako cha kubadili Tv kila mwaka...Most of the Tv ikipit 5 yrs zinaanza kusumbua...ndio maana nikampa ushauri.
Acha uongo weye..!
Mboni mimi nina TV yangu Panasonic nchi 20 ya kichogo inayoonyesha black&white nilinunua mwaka 1996 mpaka leo ndo bado naitumia nyumbani kwangu iko fresh kabisa.
 
Acha uongo weye..!
Mboni mimi nina TV yangu Panasonic nchi 20 ya kichogo inayoonyesha black&white nilinunua mwaka 1996 mpaka leo ndo bado naitumia nyumbani kwangu iko fresh kabisa.

Hapa nazungumzia smart TV... mimi nimekakaa ya chogo pia more than 15yrs...ila hizi za kisasa kuanzia LCD,LED, 4K after 5yrs zinanza kuzingua.
 
Hapa nazungumzia smart TV... mimi nimekakaa ya chogo pia more than 15yrs...ila hizi za kisasa kuanzia LCD,LED, 4K after 5yrs zinanza kuzingua.
Alaa kumbe hizi za kisasa..!
Mie hizo sizijui nazionaga tu madukani kwa mbali.
 
Chukua TCL 32" mkuu, japo itabidi uongeze pesa kidog hapo, walau kwa 550,000 utajipatia smart tv yako safi salama na inayodumu. TCL ni kama hitachi za kisasa kama ulishawahi kumiliki TV huko nyuma nadhani unaujua ubora wa hitachi!
 
hitach bomba sana
TCL ndio hitachi za kisasa kiongozi, so kama unaujua ubora wa hitachi ujue utaupata kwa TCL. Wengi hawazijui vizuri zile tv ziko bomba sana halafu ni brand ya kuaminika zaidi.
 
Nunua Panasonic ya kichogo iko vizuri na hutojutia pesa yako na unaweza kupata kwa laki moja na ishirini tu pesa nyingine unaweza kuja nikakuuzia majeneza hata mawili maana akiba haiozi na hakuna aijuaye siku wala saa
Dah aiseee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom