Recent content by mtafuta ukweli

  1. mtafuta ukweli

    JamiiForums Tanzania Utofauti mkubwa kati ya Kiongozi na Mtawala kama ilivyo kati ya Rais Kenyatta na Magufuli, na chama tawala, chama dola

    Agenda ni kuu ni democrasia na nakatiba ifwate iliyopo na ibadilishe Nikisema democrasia ni jumla ya mambo yote yaliyoko humo ndani
  2. mtafuta ukweli

    JamiiForums Tanzania Utofauti mkubwa kati ya Kiongozi na Mtawala kama ilivyo kati ya Rais Kenyatta na Magufuli, na chama tawala, chama dola

    Copy&pest UHURU: Nimechaguliwa na wakenya, maoni ya wakenya ni nguzo muhimu ktk uongozi wangu. Siwezi kuyapuuza. JPM: Nilichukua fomu mwenyewe, kwa hiyo sipangiwi. Ukijaribu kunipangia ndio unaharibu kabisa. UHURU: Nimefurahi kukutana na kaka yangu Raila. Tumeamua kuweka tofauti zetu kando...
  3. mtafuta ukweli

    JamiiForums Tanzania Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

    Hahahhaa usijali ni mapenz ya kijamii humuhumu
  4. mtafuta ukweli

    JamiiForums Tanzania ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    Duuu mie nilishashtukia mchezo haya tuyaangalie na kuyasikia
  5. mtafuta ukweli

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

    U HV gone rest in internal peace
  6. mtafuta ukweli

    JamiiForums Tanzania Yaangalieni na kuyasikia

    Naomba tu hili sakata LA mchanga wa madini liishie kama watanzania tunavyozani na isije ikawa kwa jinsi nyingine baadae maana hata Mungu atanyamaza kwakweli
  7. mtafuta ukweli

    JamiiForums Tanzania Kuchepuka raha

    Haahhhha mie nimecheka kweli duuuu
  8. mtafuta ukweli

    JamiiForums Tanzania Wadada wavaa mawigi na kutingisha vichwa vyao kidogo pindi uwaongeleshapo..

    Wale wote waliobadili sura zao wakaaribika wawambie wanaotaka kutumia pia matumizi makubwa ya pesa kwakweli inaweza kusaidia
  9. mtafuta ukweli

    JamiiForums Tanzania Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

    Aisee imetulia umeiandaa vizuri makala hii tuletee ten vigogo wengine wa zaman
  10. mtafuta ukweli

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Paul Makonda

    Inasikitisha sana daaa mie sio vizuri kweli kauli hiyo ata ingekua wewe mwana jamii forum usingependa kufaambiwa kauli hiyo na Mkuu wako!
  11. mtafuta ukweli

    JamiiForums Tanzania Vyumba vya mateso

    Kweli kabisa kuna aina nyingi ya mateso ila vitisho na mateso ya moja kwa moja macho kW macho hutia hofu zaidi likifwatiwa na onyo Kali na bora kupetezwa MTU muhusika kuliko kuchukuliwa kutekwa na kuuliwa ndugu zako
  12. mtafuta ukweli

    JamiiForums Tanzania RAI kwa wamiliki wa Studios, Tv and Radios, Restaurants, Wasanii na Wanasiasa + Wote wanaojiweza

    Daa nikuchukua hatua ya ulinzi shirikishi na binafsi
  13. mtafuta ukweli

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais: Bodi ya Namanga imejaa mateso na unyanyasaji

    Nakuunga mkono litafka Mahali pake naamini haya viongozi wa juu wapo humu ndani watalifanyia kazi
  14. mtafuta ukweli

    JamiiForums Tanzania Wanawake kuchanganyika na wanaume Kanisani

    Heee sijaelewa hapo kabisa unaongelea maisha ya wapi au nini hiki kwanzia swali sijaelewa pia
  15. mtafuta ukweli

    JamiiForums Tanzania Wanawake kuchanganyika na wanaume Kanisani

    Haaa basi ni mtazamo tofauti wa mapadre aisee na ni sehemu na sehemu ila sio utaratibu au sheria, kama ilivyo jpil kwa wakatoliki dunia mzima kufanana katika mass nzima maana basi makanisa yote yangefwata Lakin pia kwani kuna shada gani kukaa pamoja maana lengo ni kusali au wanaume wanaendaga...
Back
Top Bottom