Nchi hii tumezidi upole, sasa huu ni ujinga na chi nzima inaingia gharama kwa upuuzi wa wachache (japo nahisi wabongo wengi naturally ni wachafu ), huwezi kuwa na mji safi kama hakuna bylaws za kusimamia usafi, tupa taka unapigwa fine kuanzia elfu hamsini kuendelea, huna tunakuweka ndani.....Mr...