Matatizo sio Watu.Hakuna mapipa ya taka.Daraja la Kigamboni tayari linatakataka kama dampo flani hivi!
Hawa watakuwa ndo walioiba camera
Matatizo sio Watu.Hakuna mapipa ya taka.
Kama mapipa yapo nadhani uchafu utapungua Au hautakuwepo. Halafu iwekwe TAHADHARI
Ukitupa taka barabarani faini ni 1000 mpaka 10,000. Watu wengi tunajali mifuko yetu.
Tutanyooka tu.
Labda ni wakenya hao.
Wacha kashfa wewe sijui unaishi nchi gani hapa duniani.Uchafu wa vyoo vya jumuiya havifanyi kuwa WaTanzania ni binaadamu wa Ajabu.Ukitaka kujua aina ya binadamu anayeishi Tanzania basi nenda ukafanye utafiti kwenye vyoo vya jumuiya a.k.a "Public Toilets"
Matatizo sio Watu.Hakuna mapipa ya taka.
Kama mapipa yapo nadhani uchafu utapungua Au hautakuwepo. Halafu iwekwe TAHADHARI
Ukitupa taka barabarani faini ni 1000 mpaka 10,000. Watu wengi tunajali mifuko yetu.
Tutanyooka tu.
![]()
Mambo ya harusi Darajani hapo
In shaa Allah tunasubiri mwalikoNilijuwa tu mtu atowa Au ataolewa darajani.Naona namimi nikafunge ndoa yangu nyingine Na mke Wangu mpenzi.Hapo darajani.
Wote mtakaribishwa.Inshaalah