Recent content by Msumi2017

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

    Mke mwema huwa hatafutwi, uletwa na Mungu..
  2. M

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaume: Mnapenda mama wa nyumbani au mwanamke anayefanya kazi?

    Mwanamke Mzuri mwenye tabia njema, Mambo mengine badae..
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimempenda baba yake zaidi

    Kweli Wanawake ni Mashetani, sio wote ila type yako. Wewe unaona unachotaka kufanya ni sawa? Futa hayo mawazo mapenzi sio jambo la mchezo mchezo, jaribu kufikiria usije ukajuta badae...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar, Dr. Shein: Mkitaka kuzima umeme zimeni, tutawasha vibatari

    Walipe deni, wao walikuwa wanataka kujitoa kwenye muungano kwamba tunawanyonya kumbe wao ndio wanatunyonya. Hizi siasa zinasikitisha sana..
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sifa za wanawake wanaopenda sana pesa

    Naunga Mkono hoja asilimia 100
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jokate atoa ya moyoni

    Acha Movie iendelee...[emoji3]
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya kufundisha Shule Secondary

    [emoji15] conas?? Uliza kama uelewi jambo usijifanye unajua kumbe hujui kitu.. Nipo- School of Education (Soed) Program- Post Graduate Diploma in Education (Pgde)
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya kufundisha Shule Secondary

    Kama hauelewi jambo uliza!!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Kibonde wa Clouds FM ni hatari kwa redio hiyo

    Askofu atoe hivyo vyeti feki, atuwezi kuamini maneno yake sisi sio waumini wake kwamba atachosema tukiamini. Aweke ushahidi wa anachosema, alafu anaposema aombwe msamaha anamaanisha nini? Anataka nini hasa? Lengo la kumsema kwamba anavyeti vyeki ni kumtaka aombwe msamaha au kuna lengo lingine...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Kibonde wa Clouds FM ni hatari kwa redio hiyo

    Ayesema anavyeti feki inabidi atoe kwanza ivyo vyeti feki alafu ndiyo muhusika ajitetee
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya kufundisha Shule Secondary

    SOED
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nanunua Huawei Y330 iliyotumika nipo Dar

    Ninayo nauza laki2
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya kufundisha Shule Secondary

    University of Dar es Salaam, Mkuu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya kufundisha Shule Secondary

    Habari Mimi ni Mwalimu, bado nipo chuo nategemea kumaliza mwaka huu 2017, level ya Post Graduate Diploma, A-level nilichukua PGM, Masomo ya kufundisha ni Mathematics na Physics, nipo Dar es Salaam.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Mbezi Beach 150mil

    Iyo nyumba inajaa maji alafu iyo nyumba haipo makonde acha uongo wewe, iyo nyumba Mimi naijua acha utapeli.
Back
Top Bottom