Natafuta Kazi ya kufundisha Shule Secondary

Msumi2017

Member
Feb 24, 2017
18
10
Habari
Mimi ni Mwalimu, bado nipo chuo nategemea kumaliza mwaka huu 2017, level ya Post Graduate Diploma, A-level nilichukua PGM, Masomo ya kufundisha ni Mathematics na Physics, nipo Dar es Salaam.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom