Nanunua Huawei Y330 iliyotumika nipo Dar

Me ninayo inatimiza miaka 3 mwaka huu haijawahi kuharibika, hata ianguke kwa kiasi gani haiharibiki. Leta laki moja nikuuzie. Bila kusahau inapiga picha vizuri sana
 
Me ninayo inatimiza miaka 3 mwaka huu haijawahi kuharibika, hata ianguke kwa kiasi gani haiharibiki. Leta laki moja nikuuzie. Bila kusahau inapiga picha vizuri sana
Pamoja na wewe auuu
 
HABARI ZENU WAKUU

KAMA UNA HUAWEI Y 330 ILIYOTUMIKA AMBAYO BADO IN HALI NZURI NA UNAIUZA KWA BEI NAFUU NAOMBA TUWASILIANE HAPA 0678096545

MIMI NIPO DAR
Kuna huawei Y3 LITE ina miezi miwili , nipe 80000/= tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom