Sifa za wanawake wanaopenda sana pesa

Sifa za wanawake wanaopenda sana pesa

Wapo wasiopenda mkuu.
Amini usiamini.

Kusema wanawake wote wanapenda pesa ni kuwadhalilisha.

Wapo wanawake ambao pamoja na umasikini wao wamezikataa pesa mingi tuu ili tuu wapate ajira.
mkuu pesa tumetumia kama kigezo cha kukidhi haja zao and trust me mwanamke ni kiumbe dhaifu so hata kutafuta si kama mwanaume na wapo very worried about their future

hata kama ni mkeo lazima utatoa tu pesa na usiombe akuzidi kipato ndio utahisi umelogwa
 
Ubinadamu ni kazi sana. Unaanzaje kuomba hela. Kwa mimi hapana aisee kukopa yenyewe huwa nashindwa. Ila wanawake wana roho ya tofauti sana. Unaomba hela unadharaulika sanaa unaonekana masikini huna kitu. Thamani yako inashuka, siwezi aisee
 
Ukija mfanya mwanaume kitega uchumi hakuwezi kua na upendo hapo. Hela iko addictive, siku akikosa utatangatanga kutafuta mwenye nazo.
Huwaga kuna siku unakuwa na mawazo chanya sanaa wapatikane kama wew 1000 tu basi tutawapa sifa nzur wanawake wote lakin nakuona ww mmoja 999 sijui kama wapo
 
Sio kabisa,kuna watu unaweza wahukumu kwa matendo yao humu huku uraian ni watu tofauti kabisa.

Mie hapa ukinipa hela sikatai ujue. Na pia sio kila aliyetokea familia maskin ndio mpenda hela sana,watu wamezaliwa pesa ipo ila wanataka zaidi na matumizi makubwa. Pesa haina mwenyewe.
Mwambie huyo haelewi ye anahasira na masikini tu sijui walimfanya nini!!
 
Tatizo ni wanaume wengi hawana uwezo wa kuwatambua na kuwasoma wanawake na kuwatofautsha kwamba huyu ni wife material, Malaya, kahaba au kibaka!
Mnafakamia mkijua wate sawa ukishaumizwa mnaanza kulialia!
Akili itumike kujua aina ya mwanamke unayemhtaji
We ukitongoza hata kahaba tu unataka awe mke au girlfriend ksa mzur stupid!
 
Habarini Wakubwaaa!!

Hongereni wanawake kwa siku yenu. Tunawapenda Sana kwani ninyi ndio furaha yetu, amani yetu, utulivu wetu. Bila ninyi dunia hatujui ingekuwaje.

Basi baada ya machache hayo nirejee kunako mada.

Siku hizi kumekuwa na ongezeko kubwa la mamilioni ya wanawake wanaopenda Sana pesa kuliko kitu chochote. Jambo hili lilianza Kama mzaha lakini kwa sasa hakuna wakuuzima moto huu.
Kupenda pesa sio vibaya Bali kuipenda Sana kiasi kwamba mtu yupo radhi auze utu wake na kuudharau kabisa uanamke wake. Kama hiyo haitoshi wanawake wengi wanaopenda pesa ndio huwa chanzo cha maangamizi katika familia.

Zifuatazo ni sifa bainifu za wanawake wanaopenda Sana pesa;-

1. Huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima.
Wanawake wengi wapendao pesa huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima, mambo ambayo hayagusi maisha moja kwa moja. Hata nilipokuwa chuo wanawake wengi waliokuwa wanapenda pesa Sana walikuwa na tamaa za kusikitisha ambazo zilipofusha fahamu zao. Unakuta mwanamke anaomba laki tano kwaajili tuu ya kununua Simu nyingine kubwa wakati akiwa bado na simu mpya.
Katika maisha ni bora uingie jehanam kuliko kukutana na mwanamke mpenda pesa kwani utateseka Sana kwa ajili yake na bado hata ona msaada wako.

Sio rahisi kujenga familia bora na mwanamke mpenda pesa.

2. Wengi hutoka familia masikini.
Wanawake wengi Kama sio wote ambao hupenda pesa kuliko utu wao hutoka familia kame Sana. Ukame wa kiuchumi mpaka kiakili. Wengi wao huweza kutoa hata rushwa ya ngono ili tuu wapate pesa wasijue miili yao inathamani zaidi ya zile karatasi.
Hata humu jukwaani wapo wengi Sana na comments zao zinajulikana.
Wengi huweka matamanio yao hapa jamvini matamanio waliyoyakosa. Mtu ni masikini unandoto za kuwa na mwanaume mwenye pesa nani alikuambia wenye pesa wanataka masikini.
Umasikini wako usikufanye ujidharau au mtu akudharau. Ndio maana wanawake pamoja na mchango wenu katika dunia hii lakini bado mpaka wanyama hawawaheshimu.
Lipo kundi dogo la wanawake wanaojitahidi kutetea thamani ya jinsia yao lakini wengi wao ni wakuonewa huruma tuu.

3. Wengi wao hawana elimu ya kutosha.
Mwanamke aliesoma akaelimika hawezi hangaika na pesa ya mtu. Ndio maana wanawake wachache huhangaika kwajili ya kujitegemea na sio kumtegemea mwanaume. Wanawake wengi wenye elimu na vipato vizuri huwezi msikie akiongelea pesa Kama kigezo muhimu kwa mwanaume anayemuhitaji awe mume wake. Wengi wa wanawake humu jamvini ambao hujipa matumaini na comments zao za kujiliwaza iwe wanakazi zenye mishahara duni au elimu ndogo sambamba la kutelekezwa na wanaume kwa ukame wao wa akili.

4. Ni wavivu na wasio na mawazo.
Wanawake wote wanaopenda pesa ni wavivu kupita kiasi. Uvivu wao umeanzia akilini kiasi kwamba hawana mawazo ya maendelo. Utakuta mwanamke anawaza mambo mepesi kabisa Kama urembo, nguo, mtoko, n.k.
Wanawake wapenda pesa ni hatari kwa ustawi wa familia.
Huwezi kuwa na familia kubwa ukiingia katika bahari ya viumbe hawa.

5. Hawana shukrani wala uvumilivu.
Wanawake wapenda pesa huwezi msikia akikushukuru zaidi ya kujichekesha tuu na kubinua makalio.
Kwa mfano amekuomba milioni moja then ukampa laki tano basi utamsikia akisema sasa hii nitafanyia nini, au niongezee tena mume wangu huku akikushika kifua au ndevu. Wanawake wenye hekima hushukuru mpaka mwanaume anasikia aibu.
Suala la uvumilivu halipo kwa hawa viumbe. Shida ikitokea ukishindwa kuitatua kwa wakati huo basi hesabu umeliwa. Yaani kwao kukusaliti ni jambo lisilo na mashaka.

Babu aliwahi kunambia;
Usimpe mwanamke pesa yote aombayo.

Wenye wake mmenielewa.

Nawasilisha
Naunga Mkono hoja asilimia 100
 
Utakuta mwanamke hajasoma hana kazi yoyote ya kumpa kipato chochote alafu anakuambia anataka kuolewa na mwanaume Mwenye hela,hata sisi wanawake masikini hatuwataki kabisa,ukichanganya shida na pesa,shida zitakula pesa.
 
Tatizo ni wanaume wengi hawana uwezo wa kuwatambua na kuwasoma wanawake na kuwatofautsha kwamba huyu ni wife material, Malaya, kahaba au kibaka!
Mnafakamia mkijua wate sawa ukishaumizwa mnaanza kulialia!
Akili itumike kujua aina ya mwanamke unayemhtaji
We ukitongoza hata kahaba tu unataka awe mke au girlfriend ksa mzur stupid!

Mkuu ww ni male or female mindpower
 
mkuu pesa tumetumia kama kigezo cha kukidhi haja zao and trust me mwanamke ni kiumbe dhaifu so hata kutafuta si kama mwanaume na wapo very worried about their future

hata kama ni mkeo lazima utatoa tu pesa na usiombe akuzidi kipato ndio utahisi umelogwa
Kweli mkuu.

Ila kuna watu ni jipu mkuu
 
Ubinadamu ni kazi sana. Unaanzaje kuomba hela. Kwa mimi hapana aisee kukopa yenyewe huwa nashindwa. Ila wanawake wana roho ya tofauti sana. Unaomba hela unadharaulika sanaa unaonekana masikini huna kitu. Thamani yako inashuka, siwezi aisee
Mkuu ni shida sana.

Kuomba hela sio shida, shida ni kupenda hela kuliko pitiliza
 
Mwambie huyo haelewi ye anahasira na masikini tu sijui walimfanya nini!!
Hapana Mkuu sina ugomvi nao.

Ila ukweli ni kuwa wengi wanaopenda pesa kulitiliza ni tabaka hilo.
Wengine mpaka hujivua utu wao
 
Back
Top Bottom