Kuna KIU wale watakuchukua. Ila ada milioni 7 na point. Kama ukipata loan ujiandae kulipa milioni 3.5 kwa miaka 5. Si padogo hapo kasomee ualimu kama hela ni shida kwenu.
Chini ya vungu kumejaa sahani ya jana na kikombe cha wiki jana. Aisee nakomaa nimalizie geto hawa jamaa wa maliasili watataifisha mbao zangu sijui. Nimepasua mwenyewe kupunguza gharama
Arusha kiwanja milioni saba hadi kumi ambacho kule Kigamboni ni kama milioni 2 au 3. Serikali ihamie kigamboni mimi nawaza wizara zote zile zitapelekwa wapi ???? Au watapangisha yale majengo. Mimi kiukweli Dodoma siipendi ila Arusha waje tu life huku liko juu aiseeeeee.
Inawezekana una majukumu tayari. Mimi mshahara wangu wa miaka 3 ninatumia asilimia 20 tu na inayobaki ninawekeza kwenye nyumba. Nakaa nyumbani sijaoa kwahiyo matumizi yangu ni vocha na nauli to "man in ner"
Vifaa vya ujenzi ambavyo baadhi yetu tulikua tukinunua jeshini wameondoa lile punguzo nadhani la kodi na wanajeshi watapewa posho maalum. Hili kwangu ni pigo sababu nilitaka nkaongeze bati na ninunue misumari. Kweli kama hukujenga kipindi cha kikwete kwa magufuli hutaweka hata msingi.
Kuna mahali hapa sakina suprtmarket wanapika chipsi nzuri kweli. Nikawa nimekaa kama wiki 3 hivi sijafika pale kushtua chipsi kavu siku nimeenda naambiwa chipsi 2000 zimepanda toka 1500. Kwa kweli hali inakua mbaya sana viwanja navyo vitaendelea kupanda bei na sijui miaka 20 ijayo hali itakuaje
Mkuu kasome income tax au taxation au tafuta kijana au mtu aliyesoma uhasibu akusaidie mahesabu ya kodi yakoje. U mtupu kichwani mkuu. Samahani kama utaudhika. Asante sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.