Napendekeza serikali ihamie Arusha badala ya Dodoma

Napendekeza serikali ihamie Arusha badala ya Dodoma

Wanahamia pale kwa sababu ndio katikati ya nchi na pia pana usalama zaidi kuliko miji mengine
 
Arusha hapafai,ukikusanya vijana ukawapa viroba unaweza kuwatutuma chochote wakatekeleza fasta
 
Kwa sababu zifuatazo:

1.) Ipo karibu na vivutio vingi sana, hivyo tutakuwa tumekuza utalii wa ndani kwa kiasi kikubwa sana, ukizingatia utalii unaongoza kuliingizia taifa mapato ya kigeni na tukiongeza ya ndani itakuwa safi sana, pia watalii watatua Arusha moja kwa Moja badala ya kupitia Jomo Kenyatta na kilala mahoteli ya huko.

2.) Ipo karibu na Kenya na hivyo itakuwa rahisi kujiambukiza maendeleo kutoka Kenya ikiwemo Teknolojia na ustaarabu wa kimaendeleo, pia tutalikamata solo la Kenya kwa ustadi mkubwa zaidi na hivyo kukuza uchumi.

3.) Tatu Arusha ipo tayari zaidi kirasilimali watu na kimiundombinu kuweza kuipokea serikali bila ukakasi wowote ule ukilinganisha na Dodoma.

4.).........5.).........

Wabongo bhana kila mtu mtaalamu wa kila kitu haya na huyu naye mwingine mtalaamu wa Mji Mkuu, basi na mimi nasema Serikali ihamie kwetu Rufiji kuna Gesi karibu, kuna Maji mengi hapo tunaweza kuzalisha umeme kupitia Stiegler Gorge, Selous siyo mbali hata Tazara inafikika .... sasa kila mtu akitaka Serikali ihamie kwao au ihamie Mkoa anaoutaka tutafika kweli?
Hivi Mlm.Nyerere angekuwa mjinga na mbinafsi kama wewe si angepeleka Mji Mkuu Musoma au hata angejenga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Musoma badala ya KLM?
 
Chuga mazingira mazuri, hali ya hewa safi ila watu wa huko pumba kabisa...hawana roho ya kuishi na watu wa kada mbalimbali...na hiyo ni error kubwa sana ukiachilia mbali mji kuwa aside sana dhidi ya mikoa mingine kama mbeya na mtwara
huo uwoga tu sisi atuna roho mbaya kama unavyoogopa mkali sisi watu tusio na shida kabisa usiogope jomba!
 
Kwa sababu zifuatazo:

1.) Ipo karibu na vivutio vingi sana, hivyo tutakuwa tumekuza utalii wa ndani kwa kiasi kikubwa sana, ukizingatia utalii unaongoza kuliingizia taifa mapato ya kigeni na tukiongeza ya ndani itakuwa safi sana, pia watalii watatua Arusha moja kwa Moja badala ya kupitia Jomo Kenyatta na kilala mahoteli ya huko.

2.) Ipo karibu na Kenya na hivyo itakuwa rahisi kujiambukiza maendeleo kutoka Kenya ikiwemo Teknolojia na ustaarabu wa kimaendeleo, pia tutalikamata solo la Kenya kwa ustadi mkubwa zaidi na hivyo kukuza uchumi.

3.) Tatu Arusha ipo tayari zaidi kirasilimali watu na kimiundombinu kuweza kuipokea serikali bila ukakasi wowote ule ukilinganisha na Dodoma.

4.).........5.).........
Mirungi,ugoro,kitu cha arusha katika ubora wake
 
Basi ihamie moshi,Musoma ama tanga maana zote ziko karibu na kenya
 
Chugga mwanzo mwisho sema tu tatizo ni FULL MAKAMANDA WA UKAWA hakunaga Kijani ni mwiko abadani asilani hiyo ndiyo shida kubwa kwani hata hapa Dsm ninamashaka Uhamaji kwani wamewashika swiswim sehemu mbaya sana.
Ni hatari sana na Hapa Kazi tu.....
 
Kajipanga mwenyewe anashusha pweinti..!!! Kisa, apinge tu kuonyesha 'fundo' lake juu ya 'upigaji pasi' Tanzania yetu.
 
Arusha kiwanja milioni saba hadi kumi ambacho kule Kigamboni ni kama milioni 2 au 3. Serikali ihamie kigamboni mimi nawaza wizara zote zile zitapelekwa wapi ???? Au watapangisha yale majengo. Mimi kiukweli Dodoma siipendi ila Arusha waje tu life huku liko juu aiseeeeee.
 
Naona unatafuta uchokozi tu mkuu, acha waende Dodoma labda wana hamu nao ya kula viwavi jeshi, Arusha fresh vegetable daily na wao hawajazoea wamezoea kula vilivyo lala si kuja kuwapa mshtuko wa tumbo hao jamaa.
 
Back
Top Bottom