...teh hee hee..anyway,we ni mfanyabiashara,mimi ni mchumi uchwara!Dodoma ya siku zileeeeeeeeeeeeeeeee sio Dodoma ya leo na kesho.
View attachment 372816
hahahahaaaaaa,,,mnapitiliza hata dar sasa30,000/= per sqm
acha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahahaumejichanganya tena, mita 10 ni tofauti na square mita 10
View attachment 372800
The higher the demand.....?
....ndo mana akasema..,hata kama ndio boom,sio kihivyo!
...10,000-30,000/sqm?
Naomba unitajie bei ya hivi viwili mkuu. Hata PMKisasa cha pili toka kwenye lami kina 20 kwa 40. Na Nzuguni karibu na ambako stand ya mabasi itakapoamia kipo cha ukubwa wa 50 kwa 70. Check your inbox kwa details zaid
mkuu hii ni bei ya arusha siyo dodoma.Nawashauri muende CDA vinginevyo mtapigwa30,000/= per sqm
...teh hee hee..anyway,we ni mfanyabiashara,mimi ni mchumi uchwara!
..msome tena jamaa lini,na wapi aliponunua kwa bei alotaja!
..probably tunatofautiana tu tafsiri ya siku zileeeeeeeeeee!
..siku na kazi njema!
Ukitaka kiwanja kilicho km 30 mpaka 50 kutoka mjini nenda CDA, ukitaka vilivyoko kwenye prime areas ambavyo viko maeneo ya karibu kabisa na TOWN nitafute.mkuu hii ni bei ya arusha siyo dodoma.Nawashauri muende CDA vinginevyo mtapigwa
Kuuza kwa bei gani ni maamuzi yako, hakuna anayekulazimisha ama ukiuze au ukiache. This is business, na soko ndilo linalipanga bei.Halafu sasa hapo niliponunua ni mjini karibu na BoT wizara ya fedha jengo jipya la ccm na mkaguzi mkuu pspf tower ofisi ya mkuu wa mkoa
Na huko chamwino ikulu ni kijijini. Manaake ni kwamba pale kwangu sasa si patakua milioni mia??? 926 sqr mtrs nilinunua milion 9
mkuu 30km kutoka dodoma njia ya dar ni njia panda ya chamwino ikulu njia ya kondoa ni pale mzakwe njia ya singida ni mbel ya mzani kwa njia ya iringa ni karibu na bihawana. Mkuu jambo jema wewe unafanya biashara fanya biashara kulingana na bei ya soko mkuu.I stand to be correctedUkitaka kiwanja kilicho km 15 mpaka 30 kutoka mjini nenda CDA, ukitaka vilivyoko kwenye prime areas ambavyo viko maeneo ya karibu kabisa na TOWN nitafute.
Maamuzi ni yako?
Noted Kiongozi.mkuu 30km kutoka dodoma njia ya dar ni njia panda ya chamwino ikulu njia ya kondoa ni pale mzakwe njia ya singida ni mbel ya mzani kwa njia ya iringa ni karibu na bihawana. Mkuu jambo jema wewe unafanya biashara fanya biashara kulingana na bei ya soko mkuu.I stand to be corrected
Kuuza kwa bei gani ni maamuzi yako, hakuna anayekulazimisha ama ukiuze au ukiache. This is business, na soko ndilo linalipanga bei.