Hatimae chipsi nazo zapanda bei

Kuleni ugali, chips na sukari waacheni wale wenye uwezo, tumechoka na malalamiko yasiyo na kichwa wala miguu.
 
Wewe utakua mtumishi wa halmashauri !! Huku kwetu bei ya unga wa muhogo na matembele bei ni ile ile.
Umeacha kukadiria majenzi now unakadiria chips? Magufuli noumaaa
Baada ya bei ya nyama na sukari kupanda,hatimae chipsi kavu Nazo zapanda bei maeneo mbali mbali ya jiji la Dar kutoka Tsh.1500 tuliyoizoea mpaka Tsh. 2000 kwa sahani 1,kweli namba tutazisoma na kuzihesabu...
 
Kuna mahali hapa sakina suprtmarket wanapika chipsi nzuri kweli. Nikawa nimekaa kama wiki 3 hivi sijafika pale kushtua chipsi kavu siku nimeenda naambiwa chipsi 2000 zimepanda toka 1500. Kwa kweli hali inakua mbaya sana viwanja navyo vitaendelea kupanda bei na sijui miaka 20 ijayo hali itakuaje
 
Back
Top Bottom